Wednesday, 31 October 2012

Hawa Jamaa hata Huruma hawana

Vijana wa Swansea hakuweza kuwa hata na huruma kwa mtu aliyewalea mara baada ya kuwatandika Liverpool mabao 3-1 katika mchezo wa kombe la ligi  lijulikano kwa jina maarufu kama Capital One Cup katima mchezo uliochezwa jana usiku katika uwanja wa nyumba wa Liverpool, Anfield.





























































Swansea's players hoist their boss after last year's play-off win

No comments:

Post a Comment