Sunday, 4 November 2012

Nataka kuwa balozi nchini Uingereza, Kim Kardashian

Mrembo na mpenzi wa nguli wa muziki wa kufokafoka nchini marekani Kanye West, bi Kim Kardashian amtabanaisha ya kuwa angependela siku moja kuwa balozi nchini Uingereza katika kuwakilisha wakinamam katika miili ya afya.

Kim 32 aliyaongea hayo katika ufunguzi wa  mavazi yake mjini Uingereza akiendelea alisema wengi wa waonyesha mavazi ni models ila mimi nataka kutoka kivingine kulingana na umbo langu.



Kim Kardashian's curves have made her world famous

Figure la kutisha la Kim Kardashian













Kim Kardashian

No comments:

Post a Comment