Friday, 10 May 2013

David Moyes, kocha mpya wa Mabingwa wa Uingereza awataka Baines na Fellain Manchester United

Kocha mpya wa Mabingwa wa Uingereza aliyetangazwa jana kuchukua mikoba ya kocha wa sasa Sir Alex Ferguson ambaye ametangaza kungatuka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huukapo mwisho wa msimu huu.

David Moyes ametanabaisha nia yake ya kuwaleta Old Trafford wachezaji aliokuwa anafanya nao kazi akiwa Everton , Leighton Baines na kiungo mchezaji Maroune Fellain ,kwa wale wanaofuatilia ligi ya Uingereza mchezaji mwenye nywele ndefu kuliko wote katika ligi hiyo.

 David Moyes with Marouane Fellaini
 David Moyes akiwa na Maroune Fellain

 BAI WINDOW ... Moyes could pounce for Leighton Baines in the summer transfer period
 David Moyes akiwa na Leighton Baines




































No comments:

Post a Comment