Monday, 19 August 2013

Just like OBAMA and OPRAH , Robert Kelly will aslos snubs Kenya for Tanzania

Kama vile ni muundelezo  wa kile kilichoanzishwa na Raisi wao, Ndugu Barack Obama na kufuatia na msanii hodari wa vipindi vya Runinga Oprah , msanii mwingine gwiji wa muziki laini na  mshindi wa tuzo ya "America Award" Robert Kelly almaarufu kama R. Kelly naye amedhibitisha ya kwamba ataitembelea Tanzania kabla ya kufikia mwezi wa nne mwakani.















































No comments:

Post a Comment