MAKANGALESOPHIE

  • Subscribe to our RSS feed.
  • Twitter
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • Facebook
  • Digg

Friday, 16 November 2012

Bi Kidude: aendelea kuishi…

Posted on 21:47 by Unknown
Busara Promotion ilianzishwa kama NGO ya kitamaduni 2013 hapa Zanzibar. Tukio kubwa linalofanywa kila mwaka ni tamasha la Sauti za Busara. Ni tamasha maarufu linalowaleta watu pamoja katika kusherehekea muziki wa Afrika Mashariki na kwengineko.


Tarehe 9th Novemba, Busara Promotions iliitisha mkutano na waandishi wa habari Zanzibar juu ya suala la muimbaji hodari wa nyimbo za utamaduni Fatma Baraka anayejulikana kwa jina la Bi Kidude.  Mkutano huo wa waandishi wa habari uliitishwa kwa ajili ya kutoa taarifa za akiba za fedha za Bi Kidude kwa wanafamilia wake kisheria.


Mkutano  huo wa waandishi wa habari ulifunguliwa kwa wawakilishi kutoka Busara Promotions, kuyajibu madai yasio na ushahidi yaliotolewa na wanafamilia wa Bi Kidude yanayoshutumu kuwa Busara inamtumia vibaya Bi Kidude.  Kwa bahati mbaya mwanafamilia huyo huyo alikataa kuhudhuria mkutano and pia alipinga kutoa ruhusa ya Bi Kidude kuwepo mkutanoni. 


Mkutano ulihudhuriwa na waandishi wa habari 30, wawakilishi kutoka wizara ya utamaduni, wanafamilia wengine wa Bi Kidude na marafiki wengine. Kwa sababu isiyojulikana, habari zilitangazwa kwenye vyombo vya habari kuwa Busara Promotions inaachana na  kumtupa Bi Kidude.


Busara Promotions imeendelea kumsaidia Bi Kidude tangu kabla ya mwaka 2005. Miaka saba iliopita, Busara Promotion imemtangaza Bi Kidude na kutambuliwa na WOMEX (World Music Expo), Bi Kidude alipata tunzo kubwa katika maisha yake na kuchangiwa fedha ili kuendeleza muziki wake wa kiutamaduni. Tunzo ya WOMEX ilikuja na kiasi cha yuro 5,000. Baada ya hapo kama ilivyopendekezwa na WOMEX, Busara Promotions ilimsaidia katika kuzitunza na kuzitumia fedha zake katika kutengeneza paa na sakafu ya nyumba yake iliopo Raha Leo Mjini Zanzibar, pamoja na kuitia Plasta, kutengeneza mabomba ya maji, kuikarabati na kuipamba vyema. Bi Kidude mwenyewe alikuwa akichukua kiasi kisichopungua 50,000 Tsh kila wiki kwa muda wa miaka saba. Katika nafasi nyingi Busara Promotion imemsaidia Bi Kidude kutengeneza pesa zaidi kwa kufanya maonyesho nchini na nje ya nchi.


Katika kipindi hicho, Busara Promotion ilisaidia kukusanya zaidi ya dola 23,000 (36 millions Tsh) kwa ajili ya Bi Kidude katika malipo ya wasanii, ambapo katika kiasi hicho zimebakia dola 2,281 (3, 604,00/- Tsh) katika akaunti yake.  Ofisi ya Busara inazo risiti na kumbukumbu zote za Bi Kidude alipochukua fedha kwa miaka saba.


Busara Promotions inatangaza wazi kuwa haitoachana na kumtupa kwa  vyovyote bibi mpendwa kama ilivyo semwa na mkurugenzi Yusuf Mahmoud.
"Wakati tunajuta kwamba baadhi ya watu wanaamini vinginevyo, tunatarajia kutamka na kuthibitisha tena kwamba tunatafuta na kuwafanyia wasanii kutoka Afrika Mashariki,  wazanzibar na watanzania vile wanavyotaka wenyewe. Busara Promotion itaendelea kumsaidia Bi Kudude Maisha yote"


Busara Promotion iko tayari kuzikabidhi fedha za Bi Kidude kwa mtu  wa damu kisheria  punde iwezekanavyo kwa ushahidi akiwemo mwanasheria na muwakilishi kutoka serekalini na watu wa vyombo vya habari.


Tunaendelea na kuboresha na kuorodhesha orodha ya annuani zetu za barua pepe tulizonazo
this list is only to be used for providing information to press people
Jarida hili la barua pepe limetumwa kwa dmakangale1@yahoo.com. Unauwezo wa kujiengua kutoka katika listi yetu la jarida hili, kwa kutembelea (URL) kisara hiki: http://www.busaramusic.org/cgi-bin/dada/mail.cgi/u/habari/
Kama kisara (url) hiki hakibofyeki, chukua muda kunakili kisara hiki kizima kwani wasomaji wengine wa barua pepe hii wanaweza kuuvunja mstari huu kua mistari kadhaa

Unaweza kuwasiliana nasi kwa anuani pepe hii press@busara.or.tzNa kwa wale wanaoweza kutumbelea tupo, njia ya kuelekea uwanja wa ndege tukiangaliana upande wa pili wa barabara na Gofu club Maisara
Busara Promotions, mkabala na Golf Club, Maisara, Njia ya uwanja wa ndege, Zanzibar, Tanzania
Mailing List Powered by Dada Mail
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Posted in Entertainment | No comments
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

Popular Posts

  • Christiano Ronaldo and His 29 girlfriends List.
    Chr is tiano Ronaldo is famous as a great and cool football player. He play for England Manchester United Club, at age of 26 and he already...
  • Maadhimisho ya miaka 100 ya kituo cha makumbusho ya utamaduni wa Kisukuma - BUJORA Mwanza.
    Maadhimisho ya miaka 100 ya kituo cha makumbusho ya utamaduni wa Kisukuma - BUJORA Mwanza.                 Makumbusho ya  ka...
  • Computer System Analyst Grade I (Business Analysis) – One Post - (Re-advertised) E-Government Agency (EGA
    Computer System Analyst Grade I (Business Analysis) – One Post - (Re-advertised) E-Government Agency (EGA) Date Listed: J...
  • Administration Officer
    Administration Officer Moshi Urban Water Supply and Sewerage Authority (MUWSA) Date Listed: Sep 5, 2013 Email...
  • RAFA BENITEZ Akalia kuti kavu
    RAFA Benitez kocha wa muda wa Chelsea jana amekiri ya kwamba siku zake zimeshaanza kuhesabika ndani ya timu hiyo kutokana na matokeo mabaya ...
  • Michezo ya Ligi kuu ya Uingereza wikiendi hii katika Picha
    Everton 2 Liverpool 2 Luis Suarez akishangilia goli kwa mtindo wa kuruka mbele ya kocha wa  Everton David Moyes ikiwa kama majibu kulingana ...
  • Website Designer
    Website Designer House of Graphics Date Listed: Mar 8, 2013 Email Address: Click to Email Phone: P...
  • Weighbridge Operator - (Eight Posts)
    Weighbridge Operator - (Eight Posts) Tanzania National Roads Agency (TANROADS) Date Listed: Sep 4, 2013 Phone...
  • Administrative Assistant, Family Medicine Entity
    Administrative Assistant, Family Medicine Entity The Aga Khan University Date Listed: Apr 18, 2013 E...
  • Monetary Boards in collaboration to support development and growth.
    Leaders of the African Development Bank, European Bank for Reconstruction and Development, Inter-American Development Bank, International Mo...

Categories

  • Africa (1)
  • Announcement (13)
  • Biashara (17)
  • Breaking News (4)
  • Burudani (11)
  • East Africa News (19)
  • Education (12)
  • Entertainment (8)
  • Fashions (1)
  • Habari (41)
  • Health (1)
  • International News (14)
  • Jamii (11)
  • Jobs (120)
  • Latest Sports News (3)
  • Local News (59)
  • Makala (8)
  • Michezo (25)
  • Music (5)
  • News (12)
  • Scholarships (4)
  • Scholarships- Jobs (7)
  • Siasa (1)
  • Sport (64)
  • sports (18)
  • Technology (2)
  • Tetesi za Usajili (9)
  • usajili (1)

Blog Archive

  • ►  2013 (335)
    • ►  September (9)
    • ►  August (18)
    • ►  July (23)
    • ►  June (27)
    • ►  May (91)
    • ►  April (53)
    • ►  March (41)
    • ►  February (59)
    • ►  January (14)
  • ▼  2012 (162)
    • ►  December (42)
    • ▼  November (70)
      • Defoe: The sky is the limit now I'm Jermain man.
      • Message by the Director-General International Labo...
      • IBDP Coordinator
      • PYP Coordinator
      • Jinsi tunavyojenga msingi wa kuwachukia wenzetu***
      • CRDB limited has recorded an impressive financial ...
      • PRESS RELEASE
      • Fastjet unveiled its first fully branded aircraft.
      • Project Leader - Serengeti National Park, Tanzania
      • Overseas Research Fellow/ Lecturer (Tanzania)
      • Ratiba ya mikutano ya Maoni ya Katiba Halimashauri...
      • Chadema uongozi balaa
      • Mawaziri wazomewa mbele ya Kinana
      • Governments and businesses must give local people ...
      • East African Round Up News
      • Another big land clashes is escalating between the...
      • “ICT STAR
      • Urgent Opening for SBU Head (paints) at East Afric...
      • Aga Khan University, East Africa
      • Resident Engineer - Bus Rapid Transit System - Tan...
      • Roman Abramovich amtimua rasmi Roberto Di Mateo
      • Sir Alex Ferguson's hands shaking !! The most pain...
      • Gari la Tevez lasombwa na Karandinga
      • President Kagame opens Gorillas Golf Hotel in Nyar...
      • Simba sack members, committees
      • (Sida) and (AGRA) announced a USD10 million grant ...
      • Mchukueni Theo na £8m nipatieni Raheem Sterling,...
      • UGANDA: Police declare war on cattle rustlers
      • Badilika Mancini amwambia Balotelli
      • Training on process of dispute mediation, arbitrat...
      • Reduce green house gases emissions from deforestat...
      • INTERVIEW WITH THE HUAWEI MANAGING DIRECTOR MR. BR...
      • HUAWEI LAUNCHES “ICT STAR” PROGRAM FOR TANZANIA ED...
      • Bi Kidude: aendelea kuishi…
      • THE ADVANCE OF SAMSUNG
      • Rais wa Uruguay Jose Mujica ndie rais masikini zai...
      • Manchester United Vs Aston Villa 3-2 all goals Eng...
      • Research Fellow / Project Manager
      • Tax Manager - Big 4 Tanzania
      • Sudanese journalist found after being abducted, to...
      • Fashion That Makes Us Sad: Jean-Flops
      • Manchester United & Arsenal make Forbes top ten
      • Liverpool ready to snatch £4m Manchester United ta...
      • Public Health Specialist (Laboratory Advisor)-Vacancy
      • Assistant Sales officer-Vacancy
      • Receptionist / Secretary-Vacancy
      • Financial Analyst Officer
      • Financial Systems and Audit Advisor-Vacancy
      • Sheikh Mukadam aunganishwa kwenye kesi ya Sheikh P...
      • Obama has left his house and is on the way to the ...
      • President Barack Obama wins re-election
      • Taarifa ya Waziri wa Elimu kwa umma kuhusu mtihani...
      • Nataka kuwa balozi nchini Uingereza, Kim Kardashian
      • Wiki ya SAre katika picha_Ligi kuu ya Uingereza
      • Marefa wakasirika na watishia kugomea kuchezesha m...
      • Vacancy-Senior Cabin Crew
      • Young Leaders Project Coordinator
      • Assistant Accountant Officer
      • Research Manager
      • Journalism Trainer/Mentor
      • Project Manager, Resilience
      • Programme Assistant, Resilience
      • Administrative Assistant
      • Administrative Assistant/Logistics
      • Programme Officer: Documentary and Future
      • Administrative assistant
      • Programme Officer: Culture and Governance
      • Director of Finance and Administration
      • Tanzania stands a chance to be an HIV-free generat...
      • UNICEF has commended the continued contribution of...
    • ►  October (50)
Powered by Blogger.

About Me

Unknown
View my complete profile