Saturday, 27 October 2012

Breaking: Wavaa vimini muwe macho

Habari ambazo haizdhibitishwa bado ni kwamba kuna watu wanawachapa bakora wa kina dada waliovaa vinguo vifupi kwa maarufu kama vimini mtaani na surali za kubana mwili. Tunaenda mitamboni tutawajuza habari kamili mara baaya ya kupata habari kamili

No comments:

Post a Comment