MAKANGALESOPHIE

  • Subscribe to our RSS feed.
  • Twitter
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • Facebook
  • Digg

Wednesday, 12 December 2012

BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) kudhamini Vijana wajasiriamali.

Posted on 23:19 by Unknown


BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) imesema kuwa inautambua mchango wa wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo wadogo katika kukuza uchumi wa taifa na hivyo itaendelea kuwa karibu nao na kuwapa mafunzo ya mara kwa mara.



Akizungumza na gazeti hili jana kuhusu kongamano la siku mbili la Wajasiriamali Vijana lililofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni, Meneja Ukuzaji wa Biashara Huduma za Kibenki kwa Wateja Wakubwa na Kati, Jonathan Bitababaje alisema wajasiriamali wengi waliofanikiwa ni wale walioanzia ngazi za chini. Business devv man sme banking dept


“Kumbukumbu na nyaraka za kibenki zinaonyesha kuwa wale walioanza kwa mikopo midogo na kuendelea kufanya biashara na NBC ndio wamekuja kufanikiwa sana na ndio maana benki hii itaendelea kuwapa mafunzo na ushauri unaofaa wajasiriamali vijana,” alisema.


Alisema kupitia makongamano, wajasiriamali hupata nafasi ya kufahamu ni biashara gani inatakiwa kwa wakati, bidhaa gani inatakiwa na hata washindani wake ni akina nani.


Akizungumza wakati wa semina hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Don Bosco kwa niaba ya Waziri wa Vijana, Habari, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mkandala, Naibu Mkurugenzi wa Vijana wizarani hapo, James Kijugusi aliwashauri wajasiriamali hao kuwa na tabia ya kuziwekea bima biashara zao.


“Biashara lazima ziwe na kinga. Kwa sasa  sema uchumi wan chi na hata wa dunia hauwezi kukua iwapo wajasiriamali wakijitoa katika biashara hasa katika enzi hizi zaunaTes Tfanyabiasharsiku ya kwanza biashara wajasiriamali .


Alisema kuwa kwa sasa Serikali ipo katika mazungumzo na mashirika ya hifadhi za jamii na bima kwa ajili ya kuweka utaratibu wa kuwasaidia wajasiriamali iwapo watapatwa na majanga ya aina hiyo.

NBC Bank  Business Development SME Banking Department, Jonathan
Bitababaje speaking during a Youth Entrepreneurship Summit 2012
organised by an NGO known as Young Entrepreneurship Support initiative
YESi under sponsorship of NBC Bank in Dar es Salaam.  Looking on is
YESi Executive Chairman, Dennis Maira.
Kongamano hio liliwajumuisha washiriki 250 kutoka kada mbalimbali za wajasiriamali vijana wa jijini Dar es Salaam.
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Posted in Local News | No comments
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

Popular Posts

  • Christiano Ronaldo and His 29 girlfriends List.
    Chr is tiano Ronaldo is famous as a great and cool football player. He play for England Manchester United Club, at age of 26 and he already...
  • Maadhimisho ya miaka 100 ya kituo cha makumbusho ya utamaduni wa Kisukuma - BUJORA Mwanza.
    Maadhimisho ya miaka 100 ya kituo cha makumbusho ya utamaduni wa Kisukuma - BUJORA Mwanza.                 Makumbusho ya  ka...
  • Computer System Analyst Grade I (Business Analysis) – One Post - (Re-advertised) E-Government Agency (EGA
    Computer System Analyst Grade I (Business Analysis) – One Post - (Re-advertised) E-Government Agency (EGA) Date Listed: J...
  • Administration Officer
    Administration Officer Moshi Urban Water Supply and Sewerage Authority (MUWSA) Date Listed: Sep 5, 2013 Email...
  • RAFA BENITEZ Akalia kuti kavu
    RAFA Benitez kocha wa muda wa Chelsea jana amekiri ya kwamba siku zake zimeshaanza kuhesabika ndani ya timu hiyo kutokana na matokeo mabaya ...
  • Michezo ya Ligi kuu ya Uingereza wikiendi hii katika Picha
    Everton 2 Liverpool 2 Luis Suarez akishangilia goli kwa mtindo wa kuruka mbele ya kocha wa  Everton David Moyes ikiwa kama majibu kulingana ...
  • Website Designer
    Website Designer House of Graphics Date Listed: Mar 8, 2013 Email Address: Click to Email Phone: P...
  • Weighbridge Operator - (Eight Posts)
    Weighbridge Operator - (Eight Posts) Tanzania National Roads Agency (TANROADS) Date Listed: Sep 4, 2013 Phone...
  • Administrative Assistant, Family Medicine Entity
    Administrative Assistant, Family Medicine Entity The Aga Khan University Date Listed: Apr 18, 2013 E...
  • Monetary Boards in collaboration to support development and growth.
    Leaders of the African Development Bank, European Bank for Reconstruction and Development, Inter-American Development Bank, International Mo...

Categories

  • Africa (1)
  • Announcement (13)
  • Biashara (17)
  • Breaking News (4)
  • Burudani (11)
  • East Africa News (19)
  • Education (12)
  • Entertainment (8)
  • Fashions (1)
  • Habari (41)
  • Health (1)
  • International News (14)
  • Jamii (11)
  • Jobs (120)
  • Latest Sports News (3)
  • Local News (59)
  • Makala (8)
  • Michezo (25)
  • Music (5)
  • News (12)
  • Scholarships (4)
  • Scholarships- Jobs (7)
  • Siasa (1)
  • Sport (64)
  • sports (18)
  • Technology (2)
  • Tetesi za Usajili (9)
  • usajili (1)

Blog Archive

  • ►  2013 (335)
    • ►  September (9)
    • ►  August (18)
    • ►  July (23)
    • ►  June (27)
    • ►  May (91)
    • ►  April (53)
    • ►  March (41)
    • ►  February (59)
    • ►  January (14)
  • ▼  2012 (162)
    • ▼  December (42)
      • Reduce burden on workers
      • Challenges facing small holder farmers in Mvomero ...
      • Wakurugenzi wengine 16 wa Bandari wasimamishwa kazi
      • Fight against Ebola in SADC and East African Region
      • leave the issue of tax administration in the hands...
      • The increasing challenge on human trafficking and ...
      • Manchester United’s Christmas bash....
      • Pembe, Meno ya tembo ni biashara ya nani?
      • BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) kudhamini Vijana...
      • NBC VOWS ETERNAL LOVE TO SMEs
      • "FAIR SHARES FOR WORKERS IS THE CRY"
      • GOVERNMENT TO ESTABLISH YOUTH BANK .
      • Government has set Tshs 1.5 Billion for Youth.
      • DCB has opened more two Branches in Dar es Salaam.
      • Robin van Persie Amazing Free Kick Goal Manchester...
      • Job Description: Manager, Policy & Partnership
      • BEN ARFA AMAZING GOAL Fulham (2-1) Newcastle Unite...
      • Man with 'bionic' leg to climb 103 Floors of Chica...
      • Football's Greatest - Gerhard "Gerd" Müller (2010)...
      • Pamoja na ukali wake huyu dogo alikuwa analipwa T ...
      • Project Leader - Serengeti National Park, Tanzania
      • 1st Line Support Engineer-Vacancy
      • The East African's News Round Up
      • SPOTLIGHT ON CHILDREN'S NEEDS
      • Barclays Bank Tanzania has Announced winner of the...
      • How to generates great wealth!!!
      • Tumetoka mbali na simu za mikononi...
      • Arsene Wenger aomba dua la kutokupangwa na Barcelona
      • Pesa si ushindi, Man City yadunda hata kutinga Eu...
      • Research Consultant (International Development Res...
      • Master Jury Announced for 2013 Aga Khan Award for ...
      • Jose Mourinho anaweza kuingoza Manchester United
      • Commonwealth Distance Learning Scholarships 2012-2...
      • FIND your scholarships and grants to study in Europe!
      • Introduction to DAAD Scholarships
      • DAAD-Undergraduate Scholarship
      • Scholarship Program
      • News in brief.....Habari Mchanganyiko
      • Ratiba ya kombe la FA mzunguko wa Tatu yatoka
      • Matokeo ya Michezo ya Premier Ligi katika picha mi...
      • RAFA BENITEZ Akalia kuti kavu
      • Timu ya Beckham yanyanyua tena ubingwa kwa mwaka w...
    • ►  November (70)
    • ►  October (50)
Powered by Blogger.

About Me

Unknown
View my complete profile