MAKANGALESOPHIE

  • Subscribe to our RSS feed.
  • Twitter
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • Facebook
  • Digg

Friday, 17 May 2013

Kandoro apongeza ushindi Safari Lager

Posted on 10:37 by Unknown
Na Mwandishi Wetu, Mbeya.
MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro ameipongeza Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kutokana na bia ya Safari Lager kutwaa Tuzo ya Bia Bora Afrika.
 
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro akizungumza na wananchi wa Mji wa Mbeya wakati upokeaji Tuzo za Bia ya Safari Lager mkoani kwake jana ikiwa ni ziara maalum ya Tuzo hizo kusherehekea pamoja na Watanzania Ushindi wa Bia hiyo ya Kitanzania barani Afrika.Ziara ya Tuzo za Bia ya Safari Lager inayozalishwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL)  ilikuwa Mkoani Mbeya. Kushot ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo (Picha na Mpigapicha wetu).
Kandoro alimwaga sifa hizo wakati akipokea kombe la ushindi huo ambalo lilioneshwa mahususi kwa wakazi wa Mbeya, katika sherehe zilizofanyika kwenye Viwanja vya Kabwe vilivyopo Mwanjelwa mjini hapa jana.
 
Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akimkabidhi rasmi Mkuu wa Mkoa wa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro (kulia) Tuzo za Bia ya Safari Lager ilizoshinda katika mashindano ya Bia Afrika yaliyofanyika nchini Ghana. Makabidhiano hayo yalifanyika wakati wa ziara maalum ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kuonesha Tuzo ilizoshinda Bia yake ya Safari Lager ambapo jana walikuwa Mkoani Mbeya. (Picha na Mpigapicha wetu).
Alisema ni faraja kubwa kwa Watanzania kutokana na bia ya Safari Lager kutwaa tuzo hiyo na kufanikiwa kuzishinda bia zote barani Afrika kwa ubora.
 
Wakazi wa Mji wa Mmbeya wakiwa wamefurika kwa wingi wakishuhudia Burudani na Tuzo mbili zilizotwaliwa na Bia ya Safari Lager inayozalishwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) katika mashindano ya Bia Afrika yaliyofanyika Nchini Ghana. (Picha na Mpigapicha wetu
“Tunashukuru tumeletewa kuliona kombe mlilolipata kutokana na ubora wa bia yenu, hii ni furaha kwa Watanzania na naamini ushindi huu utachochea watu kupenda bidhaa zao.


“Kufanikiwa kutwaa Tuzo ya Bia Bora Afrika si kitu kidogo, ni faraja kwetu sote na sasa tunaweza kujivunia kile kilicho chetu,” alisema Kandoro.
Sherehe hiyo ya kulionyesha kombe kwa wakazi wa Mbeya kuliambatana na burudani za kila aina, ambazo zilitolewa na vikundi kadhaa vya muziki.


Akizungumzia ushindi huo, Meneja wa bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo alisema ni wa kujivunia zaidi na wao watahakikisha wanaendelea kuzalisha bidhaa bora zaidi.
Safari Lager imefanikiwa kushinda tuzo hiyo, kutokana na shindano lililofanyika Accra, Ghana na kushirikisha bia zote zinazozalishwa barani Afrika.















Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Posted in Habari | No comments
Newer Post Older Post Home

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

Popular Posts

  • Christiano Ronaldo and His 29 girlfriends List.
    Chr is tiano Ronaldo is famous as a great and cool football player. He play for England Manchester United Club, at age of 26 and he already...
  • Maadhimisho ya miaka 100 ya kituo cha makumbusho ya utamaduni wa Kisukuma - BUJORA Mwanza.
    Maadhimisho ya miaka 100 ya kituo cha makumbusho ya utamaduni wa Kisukuma - BUJORA Mwanza.                 Makumbusho ya  ka...
  • Administration Officer
    Administration Officer Moshi Urban Water Supply and Sewerage Authority (MUWSA) Date Listed: Sep 5, 2013 Email...
  • Computer System Analyst Grade I (Business Analysis) – One Post - (Re-advertised) E-Government Agency (EGA
    Computer System Analyst Grade I (Business Analysis) – One Post - (Re-advertised) E-Government Agency (EGA) Date Listed: J...
  • RAFA BENITEZ Akalia kuti kavu
    RAFA Benitez kocha wa muda wa Chelsea jana amekiri ya kwamba siku zake zimeshaanza kuhesabika ndani ya timu hiyo kutokana na matokeo mabaya ...
  • Michezo ya Ligi kuu ya Uingereza wikiendi hii katika Picha
    Everton 2 Liverpool 2 Luis Suarez akishangilia goli kwa mtindo wa kuruka mbele ya kocha wa  Everton David Moyes ikiwa kama majibu kulingana ...
  • Website Designer
    Website Designer House of Graphics Date Listed: Mar 8, 2013 Email Address: Click to Email Phone: P...
  • Monetary Boards in collaboration to support development and growth.
    Leaders of the African Development Bank, European Bank for Reconstruction and Development, Inter-American Development Bank, International Mo...
  • VIDEO: Obama dancing along to Tanzania’s brass dancers
  • Weighbridge Operator - (Eight Posts)
    Weighbridge Operator - (Eight Posts) Tanzania National Roads Agency (TANROADS) Date Listed: Sep 4, 2013 Phone...

Categories

  • Africa (1)
  • Announcement (13)
  • Biashara (17)
  • Breaking News (4)
  • Burudani (11)
  • East Africa News (19)
  • Education (12)
  • Entertainment (8)
  • Fashions (1)
  • Habari (41)
  • Health (1)
  • International News (14)
  • Jamii (11)
  • Jobs (120)
  • Latest Sports News (3)
  • Local News (59)
  • Makala (8)
  • Michezo (25)
  • Music (5)
  • News (12)
  • Scholarships (4)
  • Scholarships- Jobs (7)
  • Siasa (1)
  • Sport (64)
  • sports (18)
  • Technology (2)
  • Tetesi za Usajili (9)
  • usajili (1)

Blog Archive

  • ▼  2013 (335)
    • ►  September (9)
    • ►  August (18)
    • ►  July (23)
    • ►  June (27)
    • ▼  May (91)
      • Real Madrid yapatwa na kigugumizi
      • Parallel institutions vital to monitor tax adminis...
      • Agents told to exploit opportunities in insurance ...
      • Sida dishes out USD 10m to support agricultural gr...
      • Medical in Charge Emergency Medical Department Muh...
      • Office Administrator
      • Mourinho arudi zake Chelsea, Bale kuuzwa kwa paund...
      • Robin van Persie shows amazing skills v kids....
      • The Government has been urged to protect local in...
      • Dar es Salaam Goat Races to take part on 1st June ...
      • Jeshi lafanikiwa kudhibiti vurugu Mtwara
      • Neymar amua kuelekea Barcelona
      • Bayern Munich Mabingwa wapya wa Ulaya, Neymar aele...
      • Adnan Januzaj - Manchester United 2013
      • Dar Looks Forward to Obama's Tour
      • African Must Improve Livestock Data
      • Safari lager beer wins top Africa awards
      • Polisi kawe wabambikizia watu kesi
      • The implementation of 400 MW gas-fired power proje...
      • Kenyan celebrities at MTV All stars’ red carpert
      • HARUNA NIYONZIMA ASAINI MIAKA MIWILI YANGA SC
      • Bingwa wa Europa kuingia mojamoja Champions Ligi k...
      • Mtwara: Askari watuhumiwa kubaka, kumwua mjamzito,...
      • Kocha wa Malaga, Manuel Pellegrini kubwaga manyang...
      • Maonyesha ya 8 ya Vyuo Vikuu ya TCU yaanza rasmi j...
      • Picha za Mpambano baina ya Yanga na Simba
      • Torres kufungashiwa virago vyake dirisha la usajili
      • Zantel rewards winners of ‘Recharge and Win’ promo...
      • This week Sports on The Rumor Mill
      • Kandoro apongeza ushindi Safari Lager
      • Alex Ferguson's final Press conference
      • OMBI KWA MHE RAIS JAKAYA KIKWETE OKOA ARDHI YETU N...
      • BSL Interpreter / Tanzanian Orphanage
      • Linah, Barnaba kutimuliwa THT
      • Weigh Bridge Operators (3 Posts)
      • Administrative Assistant
      • David Beckhma hatiamye atundika daluga rasmi....
      • Sales Officers with AKIBA Commercial Bank PLC.
      • Bank Tellers Vacancy Posts
      • Community Relations Manager – (One Post)
      • Bookings and Marketing Officer
      • Vodacom na Samsung zazindua S4 nchini Tanzania
      • Angelina Jolie akatwa matiti kuzuia Saratani
      • Beckham aweka Rekodi mpya
      • Man Utd lift Premier League trophy
      • Ngono zembe ilivyokithiri barabara ya kuelekea Zambia
      • Roberto Mancini atolewa nishai na Roberto mwenzake
      • Mariah Carey - #Beautiful ft. Miguel
      • David Moyes, kocha mpya wa Mabingwa wa Uingereza a...
      • Finance Manager-ActionAid Tanzania
      • Operation Supervisors-Tanzania International Conta...
      • Monitoring and Evaluation Officer
      • Financial Controller
      • Human Resources and Administration Officer
      • Tanzania has a long bilateral relations with Arabs
      • Goat charity races to raise billions for community...
      • Youth jobs’ gains wiped out by slow recovery
      • AJIRA KWA VIJANA ZAATHIRIWA NA UKUAJI MDOGO WA UC...
      • Donors pledged Tsh 800bn in the general budget sup...
      • Sir Alex Fergsuon Angatuka MAnchester United
      • Accounts Officer
      • Accountant(s)-Vacancy
      • Human Resources and Administration Officer
      • ILO report shows why social protection is crucial ...
      • The East African Round Up
      • Afdb organizes pan-African training workshop
      • Competitive private sector a key to economic growth
      • African financial markets launch its website
      • Vodacom, GNLD signs deal to help clients
      • Nini Chanzo cha Tamaa ya Ngono
      • KAULI YA SERIKALI BUNGENI KUHUSU MLIPUKO ULIOTOKEA...
      • Huyu Ndiye Gareth Bale...
      • Mbatia ataka Kawambwa si tu ajiuzulu, bali ikiweze...
      • Workers around the globe divine on decent jobs.
      • CCM top echelons connected to illegal ivory dealing.
      • TPC set aside incentives to motivate its workers
      • TAMKO LA MTANDAO WA WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU (...
      • Mourinho awataka Frank Lampard na John Terry kubak...
      • Assistant F&B Manager
      • Consultant for End Term Evaluation (Tandahimba Com...
      • Accountant
      • Administration Secretary
      • Website Administrator/Customer Care
      • Marketing and Sales personnel.
      • Information Technology Manager
      • Serikali yachukua uamuzi mgumu, yafuta matokeo
      • Real Madrid wamtaka Chicharito kwa Paundi ml 25
      • Maadhimisho ya miaka 100 ya kituo cha makumbusho y...
      • Rapa wa Kriss Kross afariki Dunia jijini Atlanta
      • Discover new ideas, technologies and business oppo...
      • UFALME wA SOKA LA UHISAPNIA WAKARIBIA UKINGONI.
    • ►  April (53)
    • ►  March (41)
    • ►  February (59)
    • ►  January (14)
  • ►  2012 (162)
    • ►  December (42)
    • ►  November (70)
    • ►  October (50)
Powered by Blogger.

About Me

Unknown
View my complete profile