Ferguson aliendelea kusema si kwamba anatabiri nini kitakachotokea ndani ya Manchester United ila kwa kuwa mimi sitaweza kuendelea kuiongoza timu hii milele kwa hiyo uwezakano wa Mourinho kuiongoza Manchester United unawezakana kwa kuwa anaweza kuiongoza timu yeyote duniani kwa sasa.
![]() |
Jose Mourinho akiwa pamoja na Sir Alex Ferguson |
0 comments:
Post a Comment