MAKANGALESOPHIE

  • Subscribe to our RSS feed.
  • Twitter
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • Facebook
  • Digg

Sunday, 2 December 2012

Matokeo ya Michezo ya Premier Ligi katika picha michezo ya mwishoni mwa wiki hii

Posted on 03:33 by Unknown
Arsenal 0 Swansea City 2

Mchezaji hatari wa Swansea Mhispania Michu jana aliltea hatari kubwa katika uwanja wa Emirates kwa kufunga magoli mawili ya haraka haraka katika dakika za jioni na kuwalaza timu ya Arsenal 2-0 katika uwanja wake wa nyumbani ikiwa ni kipigo cha kwanza tokea ligi hii kwa Arsenal kupoteza mchezo katika uwanja wake wa nyumbani.


GUNNER BE BOOED ... Santi Cazorla and Mikel Arteta react
Wachezaji wa Arsenal  wahispania Santi Cazorla na Mikel Arteta wakifunika sura zao kwa  huzuni



BRACE YOURSELF ... Michu celebrates his famous double
Muuaji wa Arsenal katika mchezo wa jana Michu



FINISH ... Michu breaks the deadlock late on
Michu akiipatia Swansea goli la kuongoza




SPANISH ARCHER ... Michu celebrates his first
Michu akishangilia kuwatungua Arsenal



Manchester City 1 Everton 1

Timua ya matajiri ya Manchester City jana ilinganganiwa shati na timu ya Everton kwa kutoa droo ya goli 1-1 iliyofanya wapinzani wake Manchester United kuendelea kushikilia uongozi wa ligi hiyo kwa pointi tatu kamili toka moja. Walikuwa ni Marouane Fellaini aliyeanza kuipatia Everton goli la kuongoza katika dakika ya 33 kabla ya Carlos Tevez kuisawazishia City kwa mkwaju wa penati katika dakika 43 mara baada ya Fellain kumgusa Edin Dzeko na refarii kuamuru ipigwe penati ambayo Carlos Tevez hakufanya ajizi kuingiza mpira kimiani.


Marouane Fellaini scores past City keeper
Kipa Joe Hart akijitahidi bila mafanikio kuzuia mpira wa kichwa wa Fellaini uliozaa bao la kuongoza kwa upande wa Everton




Marouane Fellaini celebates with his Everton team-mates
Fellaini akishangilia na wachezaji wenzake






ALL SQUARE ... Carlos Tevez scores a penalty to level the scores
Tevez akiiaptia Man City goli la kusawazisha kwa mkwaju wa penati







Carlos Tevez scores a penalty past Everton keeper Tim Howard
Kipa wa Everton Tim Howard akiruka bila mafanikio kuokoa mchomo wa Carlos Tevez ambaye anaonekana kwa taabu pichani


QPR 1 Aston Villa 1 

Boss mwenye historia ya kuokoa timu zinazotaka kushuka daraja, Harry Redknapp jana aliiongoza timua yake ya Queen PArk Rangers kujipatia pint yake ya pili na kinachosubiriwa sasa na mashabiki wa timu hiyio ni je katika mchezo unaofuata dhidi yao na Wigan December 8 atafanikiwa kupata ushindi wa kwanza tokea ligi hiyo kuanza katika jumla ya michezo kumi na mitano waliocheza mpaka sasa.

Ikiwa Harry atafanikiwa kunyakua pointi zote tatu katika mchezo unaokuja na wigan itaifanya timu hiyo kuwa na pointi tisa na kuwa sambamba na wanaoshikilia nafasi ya pili toka mkiani timu ya Reading ambayo jana ililimwa mabao 4-3 na mabingwa wa kihistoria Manchester United.

Kwa kutoka droo na Aston Villa jana QPR ilifanikiwa kuifikia rekodi iliyokuwa inashikiliwa na Swidon  katika msimu wa mwaka 1993-1994 kwa kucheza michezo kumi na mitano pasipo ushindi na kufanya washuke daraja, sasa swali kubwa linalobakia ni jee Harry atafanikiwa kutokushuka daraja kwa rekodi hii au atajutia uamuzi wake wa kuikataa kazi ya kuiongoza timu ya Ursi kuelekea fainali za kombe la Dunia mnamo mwaka 2014 mjini Rio De Janeiro.



MACK ATTACK ... R's striker Jamie levels things up
MackieJamie akishangilia kupata goli la kusawazisha.



WELCOME ... Harry Redknapp applauds the QPR fans
Harry Redknapp akiwasalimia mashabiki watimu yake mpya kwa mara ya kwanza katika uwanja wa Loftus Road

Fulham 0 Tottenham Hotspur  3


Jermain Defoe jana aliongoza maauji dhidi ya Fulham akitokea benchi katika mchezo wao dhidi ya timu ya Fulham katika uwanja wake wa nyumbani wa Craffen Cottages kwa kuiufungia timu yake ya Tottenham Hotspur mabao mawili kati ya matatu katika ushindi wake wa 3-0 dhidi ya Fulham.

DOUBLE TROUBLE ... Jermain Defoe
Nyota wa mchezo wa jana baina ya Fulham na Totteham Jermain Defoe.



MATCH OF THE PRAY ... Sandro celebrates his opener
Wachezaji wa Totenham wakimpongeza mchezaji mwenzao raia wa Brazil Sandro kwa kuipatia timu hiyo bao la kuongoza



WRAPPING UP THE POINTS ... Jermain Defoe makes it 2-0 to Tottenham
Jermain Defoe akiandikia Spurs goli la pili




DERBY DAZE ... Fulham react to their crushing defeat
Wachezaji wa Fulham wakiongozwa na Berbotv wakitoka uwanjani kwa huzuni mara baada ya kutandikwa mabao 3-0 na Spurs


Liverpool 1 Southampton 0



AGGER DO ... Liverpool ace Dan




MOVE LIKE AGGER ... Liverpool ace Daniel breaks the deadlock


BOY DAN WELL ... Agger is congratulated by his team-mates


































































Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Posted in Sport | No comments
Newer Post Older Post Home
View mobile version

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

Popular Posts

  • Christiano Ronaldo and His 29 girlfriends List.
    Chr is tiano Ronaldo is famous as a great and cool football player. He play for England Manchester United Club, at age of 26 and he already...
  • Maadhimisho ya miaka 100 ya kituo cha makumbusho ya utamaduni wa Kisukuma - BUJORA Mwanza.
    Maadhimisho ya miaka 100 ya kituo cha makumbusho ya utamaduni wa Kisukuma - BUJORA Mwanza.                 Makumbusho ya  ka...
  • Tumehuzunika kidogo, Cesc Fabregas
  • Computer System Analyst Grade I (Business Analysis) – One Post - (Re-advertised) E-Government Agency (EGA
    Computer System Analyst Grade I (Business Analysis) – One Post - (Re-advertised) E-Government Agency (EGA) Date Listed: J...
  • Post: Part-time journalist
    Post: Part-time journalist Job Description Timely and accurately collecting African real-time news and then integrate the manuscript ...
  • Tempetation
    An Ivy League-educated marriage counselor who gives marital advice but finds it difficult to address issues with her own marriage.    Jur...
  • University of Dar es Salaam among top 100 Universities in Africa
    The university of Dar-es-Salaam has ranked fourth among top 100 popular universities and higher learning institutions in Africa. This is acc...
  • Admission of Diploma holders into Higher
    TANZANIA COMMISSION FOR UNIVERSITIES Admission of Diploma holders into Higher Education Institutions for the academic year 2013/2014. The T...
  • Community Relations Manager – (One Post)
    Community Relations Manager – (One Post) African Barrick Gold (ABG) Date Listed: May 15, 2013 Email Address: ...
  • Kim Kardashian awateka tena mashabiki kwa mavazi
    Kim Kardashian aliweza tena kuuteka umati waliohudhuria katika sherehe za kuchangisha fedha kwa ajili ya mfuko wa kuchangisha fedha kwa ajil...

Categories

  • Africa (1)
  • Announcement (13)
  • Biashara (17)
  • Breaking News (4)
  • Burudani (11)
  • East Africa News (19)
  • Education (12)
  • Entertainment (8)
  • Fashions (1)
  • Habari (41)
  • Health (1)
  • International News (14)
  • Jamii (11)
  • Jobs (120)
  • Latest Sports News (3)
  • Local News (59)
  • Makala (8)
  • Michezo (25)
  • Music (5)
  • News (12)
  • Scholarships (4)
  • Scholarships- Jobs (7)
  • Siasa (1)
  • Sport (64)
  • sports (18)
  • Technology (2)
  • Tetesi za Usajili (9)
  • usajili (1)

Blog Archive

  • ►  2013 (335)
    • ►  September (9)
    • ►  August (18)
    • ►  July (23)
    • ►  June (27)
    • ►  May (91)
    • ►  April (53)
    • ►  March (41)
    • ►  February (59)
    • ►  January (14)
  • ▼  2012 (162)
    • ▼  December (42)
      • Reduce burden on workers
      • Challenges facing small holder farmers in Mvomero ...
      • Wakurugenzi wengine 16 wa Bandari wasimamishwa kazi
      • Fight against Ebola in SADC and East African Region
      • leave the issue of tax administration in the hands...
      • The increasing challenge on human trafficking and ...
      • Manchester United’s Christmas bash....
      • Pembe, Meno ya tembo ni biashara ya nani?
      • BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC) kudhamini Vijana...
      • NBC VOWS ETERNAL LOVE TO SMEs
      • "FAIR SHARES FOR WORKERS IS THE CRY"
      • GOVERNMENT TO ESTABLISH YOUTH BANK .
      • Government has set Tshs 1.5 Billion for Youth.
      • DCB has opened more two Branches in Dar es Salaam.
      • Robin van Persie Amazing Free Kick Goal Manchester...
      • Job Description: Manager, Policy & Partnership
      • BEN ARFA AMAZING GOAL Fulham (2-1) Newcastle Unite...
      • Man with 'bionic' leg to climb 103 Floors of Chica...
      • Football's Greatest - Gerhard "Gerd" Müller (2010)...
      • Pamoja na ukali wake huyu dogo alikuwa analipwa T ...
      • Project Leader - Serengeti National Park, Tanzania
      • 1st Line Support Engineer-Vacancy
      • The East African's News Round Up
      • SPOTLIGHT ON CHILDREN'S NEEDS
      • Barclays Bank Tanzania has Announced winner of the...
      • How to generates great wealth!!!
      • Tumetoka mbali na simu za mikononi...
      • Arsene Wenger aomba dua la kutokupangwa na Barcelona
      • Pesa si ushindi, Man City yadunda hata kutinga Eu...
      • Research Consultant (International Development Res...
      • Master Jury Announced for 2013 Aga Khan Award for ...
      • Jose Mourinho anaweza kuingoza Manchester United
      • Commonwealth Distance Learning Scholarships 2012-2...
      • FIND your scholarships and grants to study in Europe!
      • Introduction to DAAD Scholarships
      • DAAD-Undergraduate Scholarship
      • Scholarship Program
      • News in brief.....Habari Mchanganyiko
      • Ratiba ya kombe la FA mzunguko wa Tatu yatoka
      • Matokeo ya Michezo ya Premier Ligi katika picha mi...
      • RAFA BENITEZ Akalia kuti kavu
      • Timu ya Beckham yanyanyua tena ubingwa kwa mwaka w...
    • ►  November (70)
    • ►  October (50)
Powered by Blogger.

About Me

Unknown
View my complete profile