Saturday, 2 February 2013
Maandalizi ya Super Bowl Sunday Yapamba moto
Posted on 04:04 by Unknown
Ikiwa macho yote yakiwa yameelekzwa kwenye fainali ya mchezo wa mpira wa miguu nchini marekani ujulikano kama American football za Super Bowl Sunday, ngoma ya washereheshaji ya fainali hizo ijulikano kwa jina maarufu kama Jacksoville Jaguars kama wanavyoonekana kwenye picha mbalimbali kama zilivyotujia kwa hisani ya www.thesun.co.uk







Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment