MAKANGALESOPHIE

  • Subscribe to our RSS feed.
  • Twitter
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • Facebook
  • Digg

Thursday, 29 November 2012

Jinsi tunavyojenga msingi wa kuwachukia wenzetu***

Posted on 23:26 by Unknown
KATIKA maisha yetu bila shaka tuna watu wengi au wachache ambao toka
moyoni mwetu tunawachukia na pengine tamaa yetu ni kuona wanapatwa na
mabaya kila siku. Miongoni mwao ni marafaki, wafanyakazi na ndugu zetu.

Pamoja na kuwepo kwa chuki ya asili ambayo nayo hufanya kazi kwenye maisha
ya mwanadamu, lakini wengi wetu tuna chuki zinazotokana na orodha ya
mabaya tuliyowahesabia wenzetu.

Mfano Mume anaweza kuwa na orodha ndefu ya matendo machafu ya mkewe tangu
walipooana miaka saba iliyopita, ambapo kila siku anapomtazama tu huwa
kama anatazama CD ya matukio yaliyopita na kuifanya chuki yake kukuwa kila
siku.

Kwa bahati mbaya, wanadamu wengi wako hai kwenye mabaya, uwezo wao wa
kukumbuka makosa ni mkubwa zaidi kuliko wema wanaofanyiwa. Tabia hii
inatokana na ukweli kwamba, akili zina tabia ya kukosoa muonekano na
taarifa ya vitu, lengo ni kuweka ulinganifu wa jinsi mtu anavyojitambua.

Kwa kutambua hilo, kinachotujengea chuki juu ya wenzetu ni ‘USISI’ ambao
kila mtu anao. Wako wenye usisi wa udini, ukabila, rangi, jinsia, uwezo,
elimu na tabia. Hali hii ndiyo inayowafanya wawaone wenzao kama wakosaji.

Unamchukia mumeo kwa sababu unataka awe kama unavyopenda, hupendani na
mfanyakazi mwenzako, jirani yako, mke mwenzako kwa vile unajenga msukumo
wa usisi kwenye mtazamo wako juu yake.

Ifahamike kwamba msingi huu wa maisha ni hatari kwa vile umekuwa mzigo
mzito kwenye maisha ya wanadamu wengi. Watu wengi wamepata matatizo
makubwa kwenye maisha yao kwa sababu walishindwa kujigundua kuwa wana
usisi na hivyo kulazimisha ulimwengu ufanye watakavyo, jambo ambalo ni
gumu.

Ni ukweli ulio wazi kwamba, hatuwezi kuishi kwenye mtazamo wa kutaka
mapenzi yetu yatimizwe na kuwa na msukomo wa lazima wa kuifanya jamii
inayotuzunguka itumikie mtazamo wetu. Kamwe hatuwezi kuwafanya wenzetu,
watembee, waongee, wawe na tabia kama zetu.

Wajibu wetu mkuu kwenye maisha ni kujitambua na kuacha wengine nao
watumikie kujitambua kwao kama binadamu. Tusiingie kwenye uhasama wa bure
kushindania mtazamo. Tukumbuke mpaka tunaondoka duniani hali ya kila mmoja
kujitambua mwenyewe haitafutika.

Mama Teresa aliacha neno la msingi kwenye maisha yetu lisemalo: “If you
judge people, you have no time to love them.” Kama utakuwa mwenye kuhukumu
wengine hutakuwa na muda wa kuwapenda.

Mama Teresa, Mama wa upendo
 
 
 Ni vyema tusiwe wepesi wa kuhukumu badala yake tukubali ubinadamu wa
wenzetu katika maisha.
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Posted in Jamii | No comments
Newer Post Older Post Home
View mobile version

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

Popular Posts

  • Christiano Ronaldo and His 29 girlfriends List.
    Chr is tiano Ronaldo is famous as a great and cool football player. He play for England Manchester United Club, at age of 26 and he already...
  • Maadhimisho ya miaka 100 ya kituo cha makumbusho ya utamaduni wa Kisukuma - BUJORA Mwanza.
    Maadhimisho ya miaka 100 ya kituo cha makumbusho ya utamaduni wa Kisukuma - BUJORA Mwanza.                 Makumbusho ya  ka...
  • Tumehuzunika kidogo, Cesc Fabregas
  • Computer System Analyst Grade I (Business Analysis) – One Post - (Re-advertised) E-Government Agency (EGA
    Computer System Analyst Grade I (Business Analysis) – One Post - (Re-advertised) E-Government Agency (EGA) Date Listed: J...
  • Post: Part-time journalist
    Post: Part-time journalist Job Description Timely and accurately collecting African real-time news and then integrate the manuscript ...
  • Tempetation
    An Ivy League-educated marriage counselor who gives marital advice but finds it difficult to address issues with her own marriage.    Jur...
  • University of Dar es Salaam among top 100 Universities in Africa
    The university of Dar-es-Salaam has ranked fourth among top 100 popular universities and higher learning institutions in Africa. This is acc...
  • Admission of Diploma holders into Higher
    TANZANIA COMMISSION FOR UNIVERSITIES Admission of Diploma holders into Higher Education Institutions for the academic year 2013/2014. The T...
  • Community Relations Manager – (One Post)
    Community Relations Manager – (One Post) African Barrick Gold (ABG) Date Listed: May 15, 2013 Email Address: ...
  • Kim Kardashian awateka tena mashabiki kwa mavazi
    Kim Kardashian aliweza tena kuuteka umati waliohudhuria katika sherehe za kuchangisha fedha kwa ajili ya mfuko wa kuchangisha fedha kwa ajil...

Categories

  • Africa (1)
  • Announcement (13)
  • Biashara (17)
  • Breaking News (4)
  • Burudani (11)
  • East Africa News (19)
  • Education (12)
  • Entertainment (8)
  • Fashions (1)
  • Habari (41)
  • Health (1)
  • International News (14)
  • Jamii (11)
  • Jobs (120)
  • Latest Sports News (3)
  • Local News (59)
  • Makala (8)
  • Michezo (25)
  • Music (5)
  • News (12)
  • Scholarships (4)
  • Scholarships- Jobs (7)
  • Siasa (1)
  • Sport (64)
  • sports (18)
  • Technology (2)
  • Tetesi za Usajili (9)
  • usajili (1)

Blog Archive

  • ►  2013 (335)
    • ►  September (9)
    • ►  August (18)
    • ►  July (23)
    • ►  June (27)
    • ►  May (91)
    • ►  April (53)
    • ►  March (41)
    • ►  February (59)
    • ►  January (14)
  • ▼  2012 (162)
    • ►  December (42)
    • ▼  November (70)
      • Defoe: The sky is the limit now I'm Jermain man.
      • Message by the Director-General International Labo...
      • IBDP Coordinator
      • PYP Coordinator
      • Jinsi tunavyojenga msingi wa kuwachukia wenzetu***
      • CRDB limited has recorded an impressive financial ...
      • PRESS RELEASE
      • Fastjet unveiled its first fully branded aircraft.
      • Project Leader - Serengeti National Park, Tanzania
      • Overseas Research Fellow/ Lecturer (Tanzania)
      • Ratiba ya mikutano ya Maoni ya Katiba Halimashauri...
      • Chadema uongozi balaa
      • Mawaziri wazomewa mbele ya Kinana
      • Governments and businesses must give local people ...
      • East African Round Up News
      • Another big land clashes is escalating between the...
      • “ICT STAR
      • Urgent Opening for SBU Head (paints) at East Afric...
      • Aga Khan University, East Africa
      • Resident Engineer - Bus Rapid Transit System - Tan...
      • Roman Abramovich amtimua rasmi Roberto Di Mateo
      • Sir Alex Ferguson's hands shaking !! The most pain...
      • Gari la Tevez lasombwa na Karandinga
      • President Kagame opens Gorillas Golf Hotel in Nyar...
      • Simba sack members, committees
      • (Sida) and (AGRA) announced a USD10 million grant ...
      • Mchukueni Theo na £8m nipatieni Raheem Sterling,...
      • UGANDA: Police declare war on cattle rustlers
      • Badilika Mancini amwambia Balotelli
      • Training on process of dispute mediation, arbitrat...
      • Reduce green house gases emissions from deforestat...
      • INTERVIEW WITH THE HUAWEI MANAGING DIRECTOR MR. BR...
      • HUAWEI LAUNCHES “ICT STAR” PROGRAM FOR TANZANIA ED...
      • Bi Kidude: aendelea kuishi…
      • THE ADVANCE OF SAMSUNG
      • Rais wa Uruguay Jose Mujica ndie rais masikini zai...
      • Manchester United Vs Aston Villa 3-2 all goals Eng...
      • Research Fellow / Project Manager
      • Tax Manager - Big 4 Tanzania
      • Sudanese journalist found after being abducted, to...
      • Fashion That Makes Us Sad: Jean-Flops
      • Manchester United & Arsenal make Forbes top ten
      • Liverpool ready to snatch £4m Manchester United ta...
      • Public Health Specialist (Laboratory Advisor)-Vacancy
      • Assistant Sales officer-Vacancy
      • Receptionist / Secretary-Vacancy
      • Financial Analyst Officer
      • Financial Systems and Audit Advisor-Vacancy
      • Sheikh Mukadam aunganishwa kwenye kesi ya Sheikh P...
      • Obama has left his house and is on the way to the ...
      • President Barack Obama wins re-election
      • Taarifa ya Waziri wa Elimu kwa umma kuhusu mtihani...
      • Nataka kuwa balozi nchini Uingereza, Kim Kardashian
      • Wiki ya SAre katika picha_Ligi kuu ya Uingereza
      • Marefa wakasirika na watishia kugomea kuchezesha m...
      • Vacancy-Senior Cabin Crew
      • Young Leaders Project Coordinator
      • Assistant Accountant Officer
      • Research Manager
      • Journalism Trainer/Mentor
      • Project Manager, Resilience
      • Programme Assistant, Resilience
      • Administrative Assistant
      • Administrative Assistant/Logistics
      • Programme Officer: Documentary and Future
      • Administrative assistant
      • Programme Officer: Culture and Governance
      • Director of Finance and Administration
      • Tanzania stands a chance to be an HIV-free generat...
      • UNICEF has commended the continued contribution of...
    • ►  October (50)
Powered by Blogger.

About Me

Unknown
View my complete profile