Balozi Philip Marmo akiteta jambo na mmoja wa wageni walioalikwa kwenye sherehe hiyo
Wanakikundi cha Sisitambala wakitumbuiza kwenye sherehe za Muungano
Keki maalum iliyoandaliwa kwenye maadhimisho ya miaka 49 ya Muungano wa Tanzania. Sherehe hizi zilifanyika katika Hoteli ya West Inn iliyopo Beijing, China
Balozi wa Tanzania nchini China, Philip Marmo akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya sherehe hiyo.
0 comments:
Post a Comment