MAKANGALESOPHIE

  • Subscribe to our RSS feed.
  • Twitter
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • Facebook
  • Digg

Wednesday, 8 May 2013

AJIRA KWA VIJANA ZAATHIRIWA NA UKUAJI MDOGO WA UCHUMI ULIMWENGUNI

Posted on 10:26 by Unknown
AJIRA KWA VIJANA ZAATHIRIWA NA UKUAJI MDOGO
WA UCHUMI ULIMWENGUNI
Ripoti mpya ya ILO inayohusu Hali ya Ajira kwa vijana Ulimwenguni – 2013 imeeleza kuwa athari hizi za muda mrefu za tatizo kubwa la ajira kwa vijana zitaendelea kuwapo kwa miongo mingi na hivyo kukiweka kizazi hiki kwenye hatari kubwa ya kutokuwa kwenye kazi zenye staha kwa kipindi chote cha maisha yao.
Pamoja na tofauti zilizopo katika mabara mbalimbali, kiwango cha ajira kwa vijana ulimwenguni kinaendelea kukua na kinategemewa kufikia asilimia 12.8 ifikapo mwaka 2018 – hivyo kuondoa mafanikio yote yaliyopatikana kutokana na kupambana na mproromoko wa uchumi duniani.

Linaloogopesha zaidi ni swala la ukosefu wa ajira kuendelea kuwepo, kuwepo kwa ajira za muda mfupi na kukatishwa tamaa kwa vijana hasa katika nchi zilizoendelea, na pia ajira za kiwango cha chini na zisizo rasmi hasa kwa nchi zinazoendelea.

Kutokana na ripori hii, inakadiriwa kuwa vijana wapatao milioni 73.4 (asilimia 12.6) hawatakuwa na ajira mwaka huu ukilinganisha na asilimia 12.4 mwaka 2012, kiwango karibu sawa na kile cha mwaka 2009 tulipokuwa kwenye kilele cha mporomoko wa uchumi duniani.  Hili ni ongezeko la vijana milioni 3.5 kati ya mwaka 2007 na 2013.

“Viwango hivi vinatuhimiza kulenga sera zetu kwenye kukuza uchumi zaidi, kuboresha mifumo ya elimu na mafunzo, na kuwa na shughuli zinazotoa kipaumbele kwenye kukuza ajira za vijana” kama ilivyosemwa na Jose Manuel Salazar-Xirinachs, Mkurugenzi Msaidizi wa ILO, kuhusu Sera.  Pia ameongeza kuwa “ Makundi haya, Waajiri, wale wanaotoa elimu na vijana mara nyingi hawashirikiani katika jambo hili; kufanya kazi kwa pamoja kwa wadau hawa na kushirikiana kwa karibu ndio kutakakoleta mafanikio”.

Hali katika mabara ulimwenguni
Kiwango kikubwa zaidi cha kukosekana kwa ajira kimekuwepo kwenye eneo la Mashariki ya Kati (Middle East), yaani asilimia 28.3, ikiwa ni zaidi ya robo ya idadi ya vijana wanaostahili kuajiriwa.  Kiwango hiki kinategemewa  kufikia asilimia 30 ifikapo mwaka 2018.  Afrika ya Kaskazini pia ina kiwango kikubwa kinachofikia asilimia 23.7

Vijana wa kike ndio waathirika wakubwa katika maeneo haya – asilimia 42.6 kwa mashariki ya kati na asilimia 37 kwa Afrika ya Kaskazini.

Waliokuwa na kiwango cha chini cha kukosekana kwa ajira mwaka 2012 ni Asia ya Mashariki (asilimia 9.5) na Asia ya kusini (asilimia 9.3).

Matarajio ya baadaye
Kwa nchi zilizoendelea, kiwango cha kukosekana kwa ajira kwa vijana kwa mwaka 2012 kilikuwa asilimia 18.1 na kinategemewa kuendelea kubaki kuwa zaidi ya asilimia 17 hadi kufikia mwaka 2015/16.  Kwa nchi za Greece na Spain zaidi ya asilimia 50 ya vijana hawana ajira.
Vijana wengi wamekatishwa tamaa na swala la kutafuta ajira.  Kwa mfano katika nchi zilizoendelea kwa ujumla vijana waliokata tamaa na wale wasio na ajira walifikia idadi ya milioni 13 kwa mwaka 2012.

Kupungua kwa fursa
Vijana wengi wanalazimika kutochagua kazi – hufanya kazi za muda maalum au zile za masaa ili kujipatia kipato.  Bwana Salazar anaeleza kuwa, “Ajira za kudumu na za uhakika lilikuwa jambo la kawaida kwa vizazi vilivyopita na hali hiyo imebadilika kwa vijana wa sasa.  Kutokana na kuongezeka kwa ajira za muda maalum na zile za masaa tangu mgogoro wa uchumi ulipotokea, inaonyesha kuwa hiyo ndiyo aina ya ajira pekee iliyopo kwa wafanyakazi vijana”.
Taarifa hii inaonyesha pia kuwa kuwepo kwa tatizo hili la ajira kwa muda mrefu kunaleta athari nyingi zikiwemo – kupungua kwa uzoefu wao kwenye kazi na kupotea kwa ujuzi walio nao katika nyanja mbalimbali;  Pia tatizo hili huwafanya vijana kuendelea kukata tamaa ya kupata ajira na/au kipato kwa muda mrefu.

Kuoanisha ujuzi na aina ya ajira
Kutooanisha ujuzi na aina ya ajira pia kunaongezeka.  Hali hii ni ya hatari hasa kama hapatakuwepo na sera za kuwanedeleza kiujuzi vijana wanaotaka kuajiriwa.  Waathirika zaidi katika hali hii ni pamoja na wasichana na wale ambao wapo tayari kwenye  tatizo la kutoajiriwa.

Athari hizi zitaendelea kuongezeka endapo tatizo la ajira kwa vijana litaendelea kuwepo, na litaongeza gharama kiuchumi na kijamii – yaani kuongezeka kwa umaskini na ukuaji finyu wa uchumi.

Hatua zenye malengo zinahitajika
Ripoti hii inazitaka serikali za nchi mbalimbali kuchukua hatua za haraka kupambana na tatizo hili sugu la ukosefu wa ajira kwa vijana.   Juhudi za pekee pia kutoka kwa vyama vya waajiri na wafanyakazi zinahitajika.  Inasisitiza pia kuwa ni vyema kila nchi ikazingatia maeneo ya sera yaliyopendekezwa na Shirika la Kazi Duniani (ILO) mwezi Juni 2012.  Hatua zifuatazo zilipendekezwa na taarifa hii:

-         Kulenga kwenye ukuaji wa uchumi unaokuza ajira na kazi zenye staha kupitia sera mbalimbali, sera za soko la ajira, ujasiriamali kwa vijana na haki yao ya kupambana na tatizo la ajira na athari zake, na pia kuhakikisha uwepo wa uwezo kifedha.
-         Hatua za makusudi zichukuliwe zikilenga vijana wenye ulemavu na wasiojiweza hasa kwa nchi zile zenye kiwango kikubwa cha ukosefu wa ajira kwa vijana.  Hatua hizo zijumuishe elimu, mafunzo, kuhimiza mashirika kutoa ajira na kuwasaidia vijana kupata uzoefu katika kazi.
-         Kuandaa mikakati na mipango ya kuwapatia vijana ajira na kipato has katika nchi zinazoendelea ikiwa ni pamoja na kutoa mafunzo, kuwapatia ujuzi katika kazi na mbinu za ujasiriamali na uendeshaji wa biashara.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi:  ILO Office Dar es Salaam, P. O. Box 9212, Tel: 2196700, Fax: 2126627, Email: daressalaam@ilo.org  au ILO Department of Communication, Geneva, at: +4122/799-7912, communication@ilo.org,
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Posted in Habari | No comments
Newer Post Older Post Home
View mobile version

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

Popular Posts

  • Christiano Ronaldo and His 29 girlfriends List.
    Chr is tiano Ronaldo is famous as a great and cool football player. He play for England Manchester United Club, at age of 26 and he already...
  • Maadhimisho ya miaka 100 ya kituo cha makumbusho ya utamaduni wa Kisukuma - BUJORA Mwanza.
    Maadhimisho ya miaka 100 ya kituo cha makumbusho ya utamaduni wa Kisukuma - BUJORA Mwanza.                 Makumbusho ya  ka...
  • Tumehuzunika kidogo, Cesc Fabregas
  • Computer System Analyst Grade I (Business Analysis) – One Post - (Re-advertised) E-Government Agency (EGA
    Computer System Analyst Grade I (Business Analysis) – One Post - (Re-advertised) E-Government Agency (EGA) Date Listed: J...
  • Post: Part-time journalist
    Post: Part-time journalist Job Description Timely and accurately collecting African real-time news and then integrate the manuscript ...
  • Tempetation
    An Ivy League-educated marriage counselor who gives marital advice but finds it difficult to address issues with her own marriage.    Jur...
  • University of Dar es Salaam among top 100 Universities in Africa
    The university of Dar-es-Salaam has ranked fourth among top 100 popular universities and higher learning institutions in Africa. This is acc...
  • Admission of Diploma holders into Higher
    TANZANIA COMMISSION FOR UNIVERSITIES Admission of Diploma holders into Higher Education Institutions for the academic year 2013/2014. The T...
  • Community Relations Manager – (One Post)
    Community Relations Manager – (One Post) African Barrick Gold (ABG) Date Listed: May 15, 2013 Email Address: ...
  • Kim Kardashian awateka tena mashabiki kwa mavazi
    Kim Kardashian aliweza tena kuuteka umati waliohudhuria katika sherehe za kuchangisha fedha kwa ajili ya mfuko wa kuchangisha fedha kwa ajil...

Categories

  • Africa (1)
  • Announcement (13)
  • Biashara (17)
  • Breaking News (4)
  • Burudani (11)
  • East Africa News (19)
  • Education (12)
  • Entertainment (8)
  • Fashions (1)
  • Habari (41)
  • Health (1)
  • International News (14)
  • Jamii (11)
  • Jobs (120)
  • Latest Sports News (3)
  • Local News (59)
  • Makala (8)
  • Michezo (25)
  • Music (5)
  • News (12)
  • Scholarships (4)
  • Scholarships- Jobs (7)
  • Siasa (1)
  • Sport (64)
  • sports (18)
  • Technology (2)
  • Tetesi za Usajili (9)
  • usajili (1)

Blog Archive

  • ▼  2013 (335)
    • ►  September (9)
    • ►  August (18)
    • ►  July (23)
    • ►  June (27)
    • ▼  May (91)
      • Real Madrid yapatwa na kigugumizi
      • Parallel institutions vital to monitor tax adminis...
      • Agents told to exploit opportunities in insurance ...
      • Sida dishes out USD 10m to support agricultural gr...
      • Medical in Charge Emergency Medical Department Muh...
      • Office Administrator
      • Mourinho arudi zake Chelsea, Bale kuuzwa kwa paund...
      • Robin van Persie shows amazing skills v kids....
      • The Government has been urged to protect local in...
      • Dar es Salaam Goat Races to take part on 1st June ...
      • Jeshi lafanikiwa kudhibiti vurugu Mtwara
      • Neymar amua kuelekea Barcelona
      • Bayern Munich Mabingwa wapya wa Ulaya, Neymar aele...
      • Adnan Januzaj - Manchester United 2013
      • Dar Looks Forward to Obama's Tour
      • African Must Improve Livestock Data
      • Safari lager beer wins top Africa awards
      • Polisi kawe wabambikizia watu kesi
      • The implementation of 400 MW gas-fired power proje...
      • Kenyan celebrities at MTV All stars’ red carpert
      • HARUNA NIYONZIMA ASAINI MIAKA MIWILI YANGA SC
      • Bingwa wa Europa kuingia mojamoja Champions Ligi k...
      • Mtwara: Askari watuhumiwa kubaka, kumwua mjamzito,...
      • Kocha wa Malaga, Manuel Pellegrini kubwaga manyang...
      • Maonyesha ya 8 ya Vyuo Vikuu ya TCU yaanza rasmi j...
      • Picha za Mpambano baina ya Yanga na Simba
      • Torres kufungashiwa virago vyake dirisha la usajili
      • Zantel rewards winners of ‘Recharge and Win’ promo...
      • This week Sports on The Rumor Mill
      • Kandoro apongeza ushindi Safari Lager
      • Alex Ferguson's final Press conference
      • OMBI KWA MHE RAIS JAKAYA KIKWETE OKOA ARDHI YETU N...
      • BSL Interpreter / Tanzanian Orphanage
      • Linah, Barnaba kutimuliwa THT
      • Weigh Bridge Operators (3 Posts)
      • Administrative Assistant
      • David Beckhma hatiamye atundika daluga rasmi....
      • Sales Officers with AKIBA Commercial Bank PLC.
      • Bank Tellers Vacancy Posts
      • Community Relations Manager – (One Post)
      • Bookings and Marketing Officer
      • Vodacom na Samsung zazindua S4 nchini Tanzania
      • Angelina Jolie akatwa matiti kuzuia Saratani
      • Beckham aweka Rekodi mpya
      • Man Utd lift Premier League trophy
      • Ngono zembe ilivyokithiri barabara ya kuelekea Zambia
      • Roberto Mancini atolewa nishai na Roberto mwenzake
      • Mariah Carey - #Beautiful ft. Miguel
      • David Moyes, kocha mpya wa Mabingwa wa Uingereza a...
      • Finance Manager-ActionAid Tanzania
      • Operation Supervisors-Tanzania International Conta...
      • Monitoring and Evaluation Officer
      • Financial Controller
      • Human Resources and Administration Officer
      • Tanzania has a long bilateral relations with Arabs
      • Goat charity races to raise billions for community...
      • Youth jobs’ gains wiped out by slow recovery
      • AJIRA KWA VIJANA ZAATHIRIWA NA UKUAJI MDOGO WA UC...
      • Donors pledged Tsh 800bn in the general budget sup...
      • Sir Alex Fergsuon Angatuka MAnchester United
      • Accounts Officer
      • Accountant(s)-Vacancy
      • Human Resources and Administration Officer
      • ILO report shows why social protection is crucial ...
      • The East African Round Up
      • Afdb organizes pan-African training workshop
      • Competitive private sector a key to economic growth
      • African financial markets launch its website
      • Vodacom, GNLD signs deal to help clients
      • Nini Chanzo cha Tamaa ya Ngono
      • KAULI YA SERIKALI BUNGENI KUHUSU MLIPUKO ULIOTOKEA...
      • Huyu Ndiye Gareth Bale...
      • Mbatia ataka Kawambwa si tu ajiuzulu, bali ikiweze...
      • Workers around the globe divine on decent jobs.
      • CCM top echelons connected to illegal ivory dealing.
      • TPC set aside incentives to motivate its workers
      • TAMKO LA MTANDAO WA WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU (...
      • Mourinho awataka Frank Lampard na John Terry kubak...
      • Assistant F&B Manager
      • Consultant for End Term Evaluation (Tandahimba Com...
      • Accountant
      • Administration Secretary
      • Website Administrator/Customer Care
      • Marketing and Sales personnel.
      • Information Technology Manager
      • Serikali yachukua uamuzi mgumu, yafuta matokeo
      • Real Madrid wamtaka Chicharito kwa Paundi ml 25
      • Maadhimisho ya miaka 100 ya kituo cha makumbusho y...
      • Rapa wa Kriss Kross afariki Dunia jijini Atlanta
      • Discover new ideas, technologies and business oppo...
      • UFALME wA SOKA LA UHISAPNIA WAKARIBIA UKINGONI.
    • ►  April (53)
    • ►  March (41)
    • ►  February (59)
    • ►  January (14)
  • ►  2012 (162)
    • ►  December (42)
    • ►  November (70)
    • ►  October (50)
Powered by Blogger.

About Me

Unknown
View my complete profile