MAKANGALESOPHIE

  • Subscribe to our RSS feed.
  • Twitter
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • Facebook
  • Digg

Tuesday, 23 October 2012

Je mwisho wa Barcelona ndio umefika

Posted on 22:13 by Unknown

Manchster united fightback, Blues lose, Barca scare

Manchester United ilibidi watoke nyuma ili kushinda 3-2 dhidi ya  Braga kwenye michezo ya Kalbu bingwa ya Ulaya, Mabingwa Watetezi Chelsea wamefungwa na y Shakhtar wakati Celtic walikuwa bado kiduchu tuu  wapate ushindi wa kihihistoria dhidi ya magwiji wa Uhispania timu ya Barcelona katika uwanja wao wa Nou Camp sasa fuatilia mwenyewe kupitia picha..


Timu mabingwa wa Uhispania, Barcelona jana usiku ilibidi wasubiri hadi dakika za mwisho za nyongeza ndio waweze kufanikiwa kupata ushindi mwembamba wa magoli 2-1 dhidi ya mabingwa wa Scotland Celtic.

Kama ilivyokuwa imetabiriwa kabla ya kuanza kwa mpambano huo ya kuwa mabingwa hao wa Scotland wanaweza kufanya maajabu ndani ya uwanja wa Nou Camp na ndivyo ilivyotokea kukaribia kuondoka na point moja sasa wadau wa soka watakuwa na maswali kibao huu ndio mwisho wa Barcelona????


Fraser Forster
kipa wa Celtic, Fraser Forster akiwa amejifunika uso kwa uchungu wa kupoteza mchezo wa jana katika dakika za lala salama.



LATE SHOW ... Messi and Alba

Lionel Messi akiwa na shujaa wa mchezo wa jana Jordi Alba.


Man Utd 3 Braga 2.Fergie Alalamikia sehemu ya ulinzi

Mara nane wameruhusu timu pinzani kuanza kufunga na mara sita waliweza kuzawisha na kupata ushindi lakini hiyo haikumzuia  Sir, ALex Ferguson ameendelea kulia na sehemu ya ulinzi ya timu yake mara baada ya timu hiyo kuruhusu mabao mawili , aliendelea kusema sijui nini kinatokea kwa sasa ila cha msingi tushukuru safu ya ushambuliaji inajitahidi kuficha yote yanatokea katika safu ya ulinzi.Feruson akusita kumsifia Javier Hernandez kwa magoli ya mawili na kusema kwa kweli kijana anafanya vizuri sana mazoezini na hata kwenye michezo sasa sijui itakuaje maanake yuko yeye, Robin Van Persie, Wayne Rooney na Danny Welbek.





Wayne Rooney congratulates two-goal Javier Hernandez
WAyne Rooney akimpongeza Chicharito baada ya kuisaidia Manchester United kutoka kifua mbele 3-2 dhidi ya Braga jana usiku.

Javier Hernandez goal United v Braga

TWICE LITTLE HERNA ... Javier Hernandez celebrates his second goal and winner


Javier Hernandez akishangilia goli lake la pili na la ushindi jana dhidi ya Braga.


Alan puts Braga 1-0 up

De Gear akiruka bila mafanikio kuzuia kichwa cha Alan na kuipatia timu yake goli la kuongoza

Javier Hernandez scores

Akiruka kama mkizi hapa akifunga goli la ushindi



Shakhtar Donetsk 2 Chelsea 1



Alex Teixeira celebrates - as Chelsea's Ramires looks on


kama vile Ramirez amuamaini kile Alex Teixeira anachokiongea au kukimaanisha ila mwisho wa mchezo ilibidi akubaliane na kilichokuwa kinamaanishwa.




BUNDLE OF JOY ... Willian goes wild after Shakhtar's second
Shaktar Donetsk wakishangilia kwa furaha ushindi wao wa jana 2-1 dhidi ya Mabingwa watetezi wa kombe hilo Chelsea ya Uingereza.



John Terry

Inavyoelekea hii beji ya Unite Against Racism ilikuwa ni mzigo kwa Nahodha wa Chelsea, John Terry

THAT ONE'S FER YOU ... goal hero Fernandinho points to the sky

Mfungaji wa goli la ushindi, Alex akishangilia kwa kunyoosha mikono juu mbele ya Ramirez



Petr Cech

kipa Cech akiwa katika moja ya dhawama zilizoelekezwa langoni mwake jana


GET IN ... Fernandinho beats Luiz and Cech
Huyu ndi Dinho wao ajulikanae kama Fernandinho akiwazidi ujanja  David Luiz na Petr Cech



Vucinic saves Juve blushes



Mchezaji wa  Nordsjaelland  Mikkel Beckmann akiiaptia timu yake goli kupitia mkwaju wa  free-kiki  dhidi ya Juventus.



Muller akiipatia Bayern Munich ushindi ugenini dhidi ya Lile.


Thomas Muller akiifungia Bayern goli kwa njia ya tuta dhidi ya Lile na kuisaida kuibuka na ushindi wa 1-0



Soldado wazamisha  BATE Borisov


Roberto Soldado awa mwiba mkali kwa mabingwa wa Belarusia, BATE Borisov kwa kupachicha mabao matatu maarufu kama Hat-Trick na kuwanyamzisha mashabiki elfu kumi na saba elfu 17,000 waliokuwa wamehudhuaria mpano huo.




Robert Soldado akifunga mojawapo ya magoli yake yaliyowazamisha BATE katika ushindi wa 3-0 katika uwanja wa Dynamo, Minsk.




































































































Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Posted in Sport | No comments
Newer Post Older Post Home
View mobile version

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

Popular Posts

  • Christiano Ronaldo and His 29 girlfriends List.
    Chr is tiano Ronaldo is famous as a great and cool football player. He play for England Manchester United Club, at age of 26 and he already...
  • Maadhimisho ya miaka 100 ya kituo cha makumbusho ya utamaduni wa Kisukuma - BUJORA Mwanza.
    Maadhimisho ya miaka 100 ya kituo cha makumbusho ya utamaduni wa Kisukuma - BUJORA Mwanza.                 Makumbusho ya  ka...
  • Computer System Analyst Grade I (Business Analysis) – One Post - (Re-advertised) E-Government Agency (EGA
    Computer System Analyst Grade I (Business Analysis) – One Post - (Re-advertised) E-Government Agency (EGA) Date Listed: J...
  • Tumehuzunika kidogo, Cesc Fabregas
  • Post: Part-time journalist
    Post: Part-time journalist Job Description Timely and accurately collecting African real-time news and then integrate the manuscript ...
  • Tempetation
    An Ivy League-educated marriage counselor who gives marital advice but finds it difficult to address issues with her own marriage.    Jur...
  • University of Dar es Salaam among top 100 Universities in Africa
    The university of Dar-es-Salaam has ranked fourth among top 100 popular universities and higher learning institutions in Africa. This is acc...
  • Community Relations Manager – (One Post)
    Community Relations Manager – (One Post) African Barrick Gold (ABG) Date Listed: May 15, 2013 Email Address: ...
  • Admission of Diploma holders into Higher
    TANZANIA COMMISSION FOR UNIVERSITIES Admission of Diploma holders into Higher Education Institutions for the academic year 2013/2014. The T...
  • Kim Kardashian awateka tena mashabiki kwa mavazi
    Kim Kardashian aliweza tena kuuteka umati waliohudhuria katika sherehe za kuchangisha fedha kwa ajili ya mfuko wa kuchangisha fedha kwa ajil...

Categories

  • Africa (1)
  • Announcement (13)
  • Biashara (17)
  • Breaking News (4)
  • Burudani (11)
  • East Africa News (19)
  • Education (12)
  • Entertainment (8)
  • Fashions (1)
  • Habari (41)
  • Health (1)
  • International News (14)
  • Jamii (11)
  • Jobs (120)
  • Latest Sports News (3)
  • Local News (59)
  • Makala (8)
  • Michezo (25)
  • Music (5)
  • News (12)
  • Scholarships (4)
  • Scholarships- Jobs (7)
  • Siasa (1)
  • Sport (64)
  • sports (18)
  • Technology (2)
  • Tetesi za Usajili (9)
  • usajili (1)

Blog Archive

  • ►  2013 (335)
    • ►  September (9)
    • ►  August (18)
    • ►  July (23)
    • ►  June (27)
    • ►  May (91)
    • ►  April (53)
    • ►  March (41)
    • ►  February (59)
    • ►  January (14)
  • ▼  2012 (162)
    • ►  December (42)
    • ►  November (70)
    • ▼  October (50)
      • Hawa Jamaa hata Huruma hawana
      • World Bank report: Remove cross-border restriction...
      • Samsung:vowed to continue expanding its presence i...
      • Volunteer roles available in Tanzania
      • International Graduate Programme– Specialist Funct...
      • International Graduate Programme– Consumer Bank, S...
      • International Graduate Programme - Wholesale Bank,...
      • Consumer Bank Fast Track Programme, Standard Chart...
      • Management Accountant for Agricultural Development...
      • Twiga Cement awards Quarry Life winners
      • Barclays Bank Tanzania:Launched new Collections a...
      • Consumer Reports Auto Reliability Survey: Ford fal...
      • Blackaburn Rovers mazungumzoni na Harry Redknapp
      • Prem stars battle Messi ‘n Ron
      • TANZANIA PORTLAND CEMENT COMPANY LTD (TPCC LTD) AW...
      • The 2nd Children Arts and Cultural Festival
      • Michezo ya Ligi kuu ya Uingereza wikiendi hii kati...
      • Liverpool yalia na Simon Bennett, Chelsea yalia na...
      • Zitto: Vigogo walioficha mabilioni Uswisi kukiona
      • Di Matteo aulilia uongozi juu ya Ashley Cole!!
      • I'll talk with with Fergie - I've been a fan longe...
      • Kikongwe cha miaka 80 chamjia juu Fergie kuhusu mt...
      • Breaking: Wavaa vimini muwe macho
      • Dk Slaa amlipua JK
      • Sheikh Mubajje, Kayongo wanted out of office
      • FUBA: KIU Titans on trial against Miracle
      • Call for Applications for Journalism Training in S...
      • Trey Songz - Heart Attack
      • MAN UTD boss admits Chelsea's talented trio could ...
      • New Video: Far East Movement - Little Bird
      • MAN CITY boss has hit back at players who are not ...
      • Habari za Michezo mchanganyiko
      • Ligi ya mabingwa msimu ni Balaaa
      • Christiano Ronaldo and His 29 girlfriends List.
      • Mwanadada Jprdana atemana rasmi na mchumba wake
      • Barcelona vs Celtic 2-1 All Goals and Highlights 1...
      • Manchester United vs Sporting Braga [3-2] All Goal...
      • Je mwisho wa Barcelona ndio umefika
      • Rais Kikwete afungua mkutano mkuu wa 8 wa UVCCM .
      • Kim Kardashian awateka tena mashabiki kwa mavazi
      • Karaoke Night.
      • Reservations & Marketing For Africa-Vacancy
      • Marketing Officers (3posts)
      • Internship Placement
      • Regional and District Coordinators
      • John Terry katika kuongoza kampeni ya kupinga Ubag...
      • Italian scientists convicted over earthquake warning
      • Jalada la Elizabeth Michael ‘Lulu’ larejeshwa Kisu...
      • Wakristo Geita wasema OLE! Vitisho, uharibifu wa m...
      • Fergie: I'm not teed off with shirt snub Rio ReAl...
Powered by Blogger.

About Me

Unknown
View my complete profile