MAKANGALESOPHIE

  • Subscribe to our RSS feed.
  • Twitter
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • Facebook
  • Digg

Wednesday, 24 October 2012

Ligi ya mabingwa msimu ni Balaaa

Posted on 21:33 by Unknown

Ajax 3 Manchester City 1

Manchester City yasubiria miujiuza ya kuendela na hatua ya makundi mara baada ya kufundishwa soka na mabingwa wa Uholanzi, Ajax kwa kutandikwa mabao 3-1 mjin uholanzi jana usiku. Mabingwa hao kwa sasa hali hiyo inaonekana ni kama vile mtu kutembea kwenye usawa wa ncha ya kamba ambapo mda wowote mtu anaweza kudondoka.Mpira bwana hautambui wewe ni nani na una hela kiasi kuna wakati Manchester City ilikuwa na kikosi chenye dhamani ya Paundi millioni 110 (Dzeko, Carlos Tevez, Mario Balotelli and Sergio Aguero — dhamni inayokaribia £110m) wakati Ajax kikosi kilichokuwa ndani ya uwanja hakizidi Paundi milioni £4m  waandishi wa habari bwana eti tayari jeneza lishaandaliwa kwa jili yao kwenye msiba wataoupata toka kundi la kifo...te heeeee

Kikosi cha Ajax ni wachezaji waliojaa vipaji na waliotokea katika shule yao na mmoja wao ni Mdenmark  Christian Eriksen.Eriksen mwenye miaaka 20 anayewindwa kwa sasa na vilabu mbalimbali barani ulaya na ambaye jana aliwasumbua vilivyo matajiri hawa wa Manchester City.

Roberto Mancini
Mancini akitamani ardhi ipasuke na kuficha uso kwa dhahma aliyoipata mjini Holland.

Nicklas Moisander
Joe Hart jana hakuwa na bahati ya mjini Dortmund akishuuhudia mkwaju wa Nicklas Moisander ukiingia nyavuni mwake.



ON THE CHARGE ... Aguero takes on Ricardo van Rhijn
Aguero akijitahidi kupambana na  Ricardo van Rhijn


WATCHING BRIEF ... Balotelli looks on from the bench

Balotelli na Tevez wakishuhudia wenzao wakiadhibiwa vilivyo na Ajax


MIC SHOT ... Richards tries his luck

Micah Richards akijaribu bahati yake

Arsenal 0 Schalke 2

Timu ya Arsenal  nayo jana ilihitimisha wiki mbaya kwa timu za Uingereza kwa kufanya vibaya katika mzunguko wa kufunga michezo ya raundi ya kwanza kwa kubali kichapo cha mabao 2-0 toka kwa Schalke 04 ya Ujerumani.

Kibaya zaidi leo ni mkutano mkuu wa bodi ya wakurugenzi wa timu na kocha Arsene ionawezaka akawa katika wakati mgumu kwa maswali ya kupoteza mchezo wa ligi dhidi ya Norwich City na mchezo wa kwanza wa ligi ya mabigwa ndani ya uwanja mpya wa Emirates tokea mwaka 2006.


KLAAS ACT ... Klaas-Jan Huntelaar celebrates his opener for Schalke at the Emirates

Klass-Jan Huntelaar aksihangilia goli lake alilofungia  Schalke



TALKING POINT ... Ibrahim Afellay is booked for diving after being challenged by Vito Mannone

Ibrahim Afellay akijaribu kumhadaaa mwammuzi kwa kujiiunganisha mbele ya Vito Mannone


RAM RAID ... Aaron Ramsey hunts down Ibrahim Afellay

Aaron Ramsey akijaribu kumkabili  Ibrahim Afellay


FIRST KLAAS ... Klass-Jan Huntelaar celebrates for Schalke




Borussia Dortmund 2 Real Madrid 1

Borussia Dortmund iliichapa Real Madrid mjini Dortmund kwa magoli mawili kwa moja na hivyo kuifanya Manchester City itambe mkia mwa kundi linalohesabika kama la kifo katika mashindano ya kumtafuta bingwa wa klabu barani ulaya.


Marcel Schmelzer

Mchezaji Marcel Schmelzer wa Dortmund akishangilia goli la pili katika mchezo huo




Robert Lewandowski

Robert Lewandowski akiifungia Dortmund na huku beki wa Real Madrid Pepe akiwa ana la kufanya.

Cristiano Ronaldo
Hapa nyota Cristiano Ronaldo akizawazisha Real Madrid na kufanya ubao kusomeka 1-1 ila hakuwa na msaada kwa kumzuia Marcel Schmelzer  kuipatia Dortmund goli la pili na ushindi na kulala 2-1.


Raphael Varane and Robert Lewandowski

Patashika nguo kuchanika katika mchezo wa jana kati ya wachezaji wa  Dortmund Robert Lewandowski na  Raphael Varane wa Madrid.



Jose Mourinho


Hapa Jose Mourinho hakuweza kudhibitisha ya kuwa yeye ni Special One baada ya kupokea kichapo toka kwa Borrusia Dortumnd mjini Dortmund , Ujerumani katika mchezo wa jana.


Mitroglou  Shujaa wa  Olympiakos katika ushindi wa 2-1 dhidi Montpellier.

Mchezaji wa akiba aliyeingia kipindi cha pili  Kostas Mitroglou aliwfunga goli katika muda wa nyongeza na kuifanya timu yake itoke kifua mbele dhidi ya mabingwa wa Ufaransa Montpellier katika mchezo wao wa kufunga mzunguko wa kwanza mjini Montpellier, Ufaransa.


Vasilis Torosidis akishangilia goli la kuzawazisha


















Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Posted in Sport | No comments
Newer Post Older Post Home
View mobile version

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

Popular Posts

  • Christiano Ronaldo and His 29 girlfriends List.
    Chr is tiano Ronaldo is famous as a great and cool football player. He play for England Manchester United Club, at age of 26 and he already...
  • Maadhimisho ya miaka 100 ya kituo cha makumbusho ya utamaduni wa Kisukuma - BUJORA Mwanza.
    Maadhimisho ya miaka 100 ya kituo cha makumbusho ya utamaduni wa Kisukuma - BUJORA Mwanza.                 Makumbusho ya  ka...
  • Computer System Analyst Grade I (Business Analysis) – One Post - (Re-advertised) E-Government Agency (EGA
    Computer System Analyst Grade I (Business Analysis) – One Post - (Re-advertised) E-Government Agency (EGA) Date Listed: J...
  • Tumehuzunika kidogo, Cesc Fabregas
  • Post: Part-time journalist
    Post: Part-time journalist Job Description Timely and accurately collecting African real-time news and then integrate the manuscript ...
  • Tempetation
    An Ivy League-educated marriage counselor who gives marital advice but finds it difficult to address issues with her own marriage.    Jur...
  • University of Dar es Salaam among top 100 Universities in Africa
    The university of Dar-es-Salaam has ranked fourth among top 100 popular universities and higher learning institutions in Africa. This is acc...
  • Community Relations Manager – (One Post)
    Community Relations Manager – (One Post) African Barrick Gold (ABG) Date Listed: May 15, 2013 Email Address: ...
  • Admission of Diploma holders into Higher
    TANZANIA COMMISSION FOR UNIVERSITIES Admission of Diploma holders into Higher Education Institutions for the academic year 2013/2014. The T...
  • Kim Kardashian awateka tena mashabiki kwa mavazi
    Kim Kardashian aliweza tena kuuteka umati waliohudhuria katika sherehe za kuchangisha fedha kwa ajili ya mfuko wa kuchangisha fedha kwa ajil...

Categories

  • Africa (1)
  • Announcement (13)
  • Biashara (17)
  • Breaking News (4)
  • Burudani (11)
  • East Africa News (19)
  • Education (12)
  • Entertainment (8)
  • Fashions (1)
  • Habari (41)
  • Health (1)
  • International News (14)
  • Jamii (11)
  • Jobs (120)
  • Latest Sports News (3)
  • Local News (59)
  • Makala (8)
  • Michezo (25)
  • Music (5)
  • News (12)
  • Scholarships (4)
  • Scholarships- Jobs (7)
  • Siasa (1)
  • Sport (64)
  • sports (18)
  • Technology (2)
  • Tetesi za Usajili (9)
  • usajili (1)

Blog Archive

  • ►  2013 (335)
    • ►  September (9)
    • ►  August (18)
    • ►  July (23)
    • ►  June (27)
    • ►  May (91)
    • ►  April (53)
    • ►  March (41)
    • ►  February (59)
    • ►  January (14)
  • ▼  2012 (162)
    • ►  December (42)
    • ►  November (70)
    • ▼  October (50)
      • Hawa Jamaa hata Huruma hawana
      • World Bank report: Remove cross-border restriction...
      • Samsung:vowed to continue expanding its presence i...
      • Volunteer roles available in Tanzania
      • International Graduate Programme– Specialist Funct...
      • International Graduate Programme– Consumer Bank, S...
      • International Graduate Programme - Wholesale Bank,...
      • Consumer Bank Fast Track Programme, Standard Chart...
      • Management Accountant for Agricultural Development...
      • Twiga Cement awards Quarry Life winners
      • Barclays Bank Tanzania:Launched new Collections a...
      • Consumer Reports Auto Reliability Survey: Ford fal...
      • Blackaburn Rovers mazungumzoni na Harry Redknapp
      • Prem stars battle Messi ‘n Ron
      • TANZANIA PORTLAND CEMENT COMPANY LTD (TPCC LTD) AW...
      • The 2nd Children Arts and Cultural Festival
      • Michezo ya Ligi kuu ya Uingereza wikiendi hii kati...
      • Liverpool yalia na Simon Bennett, Chelsea yalia na...
      • Zitto: Vigogo walioficha mabilioni Uswisi kukiona
      • Di Matteo aulilia uongozi juu ya Ashley Cole!!
      • I'll talk with with Fergie - I've been a fan longe...
      • Kikongwe cha miaka 80 chamjia juu Fergie kuhusu mt...
      • Breaking: Wavaa vimini muwe macho
      • Dk Slaa amlipua JK
      • Sheikh Mubajje, Kayongo wanted out of office
      • FUBA: KIU Titans on trial against Miracle
      • Call for Applications for Journalism Training in S...
      • Trey Songz - Heart Attack
      • MAN UTD boss admits Chelsea's talented trio could ...
      • New Video: Far East Movement - Little Bird
      • MAN CITY boss has hit back at players who are not ...
      • Habari za Michezo mchanganyiko
      • Ligi ya mabingwa msimu ni Balaaa
      • Christiano Ronaldo and His 29 girlfriends List.
      • Mwanadada Jprdana atemana rasmi na mchumba wake
      • Barcelona vs Celtic 2-1 All Goals and Highlights 1...
      • Manchester United vs Sporting Braga [3-2] All Goal...
      • Je mwisho wa Barcelona ndio umefika
      • Rais Kikwete afungua mkutano mkuu wa 8 wa UVCCM .
      • Kim Kardashian awateka tena mashabiki kwa mavazi
      • Karaoke Night.
      • Reservations & Marketing For Africa-Vacancy
      • Marketing Officers (3posts)
      • Internship Placement
      • Regional and District Coordinators
      • John Terry katika kuongoza kampeni ya kupinga Ubag...
      • Italian scientists convicted over earthquake warning
      • Jalada la Elizabeth Michael ‘Lulu’ larejeshwa Kisu...
      • Wakristo Geita wasema OLE! Vitisho, uharibifu wa m...
      • Fergie: I'm not teed off with shirt snub Rio ReAl...
Powered by Blogger.

About Me

Unknown
View my complete profile