MAKANGALESOPHIE

  • Subscribe to our RSS feed.
  • Twitter
  • StumbleUpon
  • Reddit
  • Facebook
  • Digg

Sunday, 28 October 2012

Michezo ya Ligi kuu ya Uingereza wikiendi hii katika Picha

Posted on 22:07 by Unknown

Everton 2 Liverpool 2

KOP FLOP ... Luis Suarez celebrates Liverpool's opening goal by taking a tumble in front of Everton boss David Moyes
Luis Suarez akishangilia goli kwa mtindo wa kuruka mbele ya kocha wa  Everton David Moyes ikiwa kama majibu kulingana na kocha huyo kumshutumu kwa vitendo vyake vyake vya kuruka.(Diving).

Luis Suarez

Kidiving diving mtindo unaolalamikiwa kwa sasa na baadhi ya waamuzi wengi walio kwenye  kampeni ya kuukomesha mtindo huu, hapa Suarez akishangilia goli kwa mtindo huo anaolalamikiwa .


HIT AND HOPE ... Luis Suarez's cross deflects off Leighton Baines and goes in

shuti la Luis Suarez likimbabatiza beki wa Everton, Leighton Baines na kujaa wavuni.


KING LUIS ... Luis Suarez heads in Liverpool's second
Luis Suarez akiipatia timu yake ya  Liverpool goli la pili

SUPERSUAR ... Luis Suarez celebrates with Martin Skrtel

Luis Suarez akishangilia goli akiwa na mchezaji mwenzake Martin Skrtel



LEO SLAYER ... Leon Osman fires in for Everton
Everton nao hawakua nyuma hapa Leon Osman akiipatia pia goli

BACK IN IT ... Leon Osman celebrates his goal as Luis Suarez looks on


Leon Osman akishangilia mbele ya  Luis Suarez lkama alivyofanya kushangilia mbele ya kocha wake David Moyes.

NAISLAYER ... Steven Naismith celebrates after pulling Everton level

Steven Naismith akishangilia kwa kuisawazishia Everton goli la pili.



HAV-A-GO HERO ... Javier Hernandez celebrates after scoring a controversial late winner for United

Javier Hernandez maarufu kama Chicharito akishangilia mara baada ya kuipatia Manchester United goli la pili na la ushindi katika mchezo wa jana ambapo Manchester United ilitoka kifua mbele  wa magoli 3-2



TARGET ... Carrick picks up seat off pitch at Stamford Bridge

Baadhi ya matukioa yasiokuwa ya kiuanamichezo hapa ni kiti na makopo yaliorushwa uwanjani na mashabiki wa Chelsea kuelekzwa kwa wachezaji wa Manchester walipokuwa wanashangilia goli la Chicharito pamoja na waamuzi wa mchezo.


PALM SUNDAY ... Rio Ferdinand shakes hands with Ashley Cole
Rio akionyesha uanamichezo kwa kushikana mikono na Ashley Cole aliyekuwa anamtetea John Terry



HAIR WE GO ... Manchester United take the lead after David Luiz's own goal
Manchester wakijipatia goli la kuongoza kwa kupitia David Luiz aliyejifunga mwenyewe katika harakati za kuokoa mchomo wa Robin Van Persie hayupo pichani.







ROBIN RELIANT ... Robin van Persie scores United's second goal
Robin van Persie akiifungia Mancgester s United goli la pili


HOT ROB ... Robin van Persie celebrates his goal


Nyota wa Mchezo wa jana Robin Van Akishangilia mara baada ya kufunga.



SPECIAL JUAN ... Mata bends in a stunning free-kick

Juan Mata akkipatia goli la kwanza timu ya Chelsea katika mchezo waliopoteza kwa magoli 3-2 dhidi ya Manchester United


RAM RAID ... Ramires pulls Chelsea level
Ramires akishangilia mara baada ya kuisawazishia Chelsea goli la pili na kufanya matokeo kusomeka 2-2 kwa wakati huo.



TUNNEL VISION ... Branislav Ivanovic trudges off
Branislav Ivanovic akitoka mara baada ya kuonyeshwa  nyekundu kwa kumcheza visivyo Ashley Young.

RED AND BURIED ... Fernando Torres is given his marching orders


Kadi iliyozua mtafaruku katika mchezo wa jana ya Fernando Torres mara baada ya kumhadaa mwamuzi Mark Clattenburg kwa kudive



Sotton yalala kwa Tottenham 2-1




TWO GOOD ... Goal-scorers Clint Dempsey and Gareth Bale celebrate

wafungaji wa magoli ya Spurs, Clint Dempsey na Gareth Bale wakishangilia kwa pamoja ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Southampton.

HEADS UP ... Gareth Bale nods Tottenham into a 1-0 lead
Gareth Bale akiipatia Spurs goli la kuongoza


WELSH FLAIR-BIT ... Jermain Defoe congratulates goal-scorer Gareth Bale



Mshambuliaji wa Sprurs, Jermain Defoe akimpongeza  Gareth Bale mara baada ya kuipatia Totenham goli la kwanza.

PAPISS CISSE

Demba Ba and Papiss Cisse 2 West Brom 1


PISS OF CAKE ... Papiss Cisse celebrates his late winner with Sammy Ameobi
Papiss Cisse akishangilia mara baada ya kukata ukame wa magoli pamoja na with Sammy Ameobi



Demba Ba

Demba Ba akiipatia goli la kuongoza timu yake ya Newcastle United


Romelu Lukaku

Romelu Lukaku akiweka mambo sawa kwa West Bromwhich Albion


Arsenal 1 Queen Park Rangers 0


Match-winner Mikel Arteta celebrates
Mshindi wa mchezo wa jana  Mikel Arteta akishangilia goli la muda wa majeruhi lililoisadia Arsenal kutoka kifua mbele dhidi ya QPR

Jack Wilshere

Jack Wilshere mara baada ya kuwa nje ya uwanja kwa kipindi takribani miezi kumi na saba 17 hatimaye amerudi rasmi


Aaron Ramsey brings the ball down as Armand Traore closes in

.Aaron Ramsey akionyesha uwezo mbele ya ya Armand Traore.

Aston Villa 1 Norwich 1



TURNER PRIZE ... Robert Snodgrass hails Norwich hero Michael Turner
Robert Snodgrass akiwa amembeba shujaa wa goli la kusawazisha Michael Turner




TURNING POINT ... Michael Turner levels
Michael Turner akiipatia norwich City goli la kusawazisha na kuepushia na kipigo toka kwa Aston Villa ndani ya uwanja wa Villa Park.


BENCHED ... Darren Bent and Stephen Ireland

Darren Bent na Stephen Ireland wa Aston Villa wakifuatilia mpambano kwa ukaribu wakiwa benchi


Manchester City 1 Swansea City 0


Match-winner Carlos Tevez celebrates

Mfungaji wa bao pekee Carlos Tevez akishangilia kuipatia Manchester goli la ushindi.


Carlos Tevez
Carlos Tevezakiifungia Manchester City goli katika mchezo wao baina ya Swansea City na kuipatia City ushindi wa bao 1-0

Mario Balotelli and Ashley Williams exchange views

kama kawaida Mario hakosi kituko, hapa wakionyesha ubabe kwa kuwekeana kibesi na nahodha wa Swansea, Ashley Williams.


 

 

Reading 3 Fulham 3



SCRAMBLE ... Hal Robson-Kanu prods home the equaliser




GET IN ... Mikele Leigertwood celebrates his strike




GLOVED UP ... Dimitar Berbatov thought he had won it for Fulham


Stoke City 0 Sunderland 0



HARD FOUGHT ... Dean Whitehead tackles Sebastian Larsson



Stoke

Wigan 2 West Ham 1



Ivan Ramis



DEADLOCK BREAKER ... Ivan Ramis opens the scoring





















Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Posted in Sport | No comments
Newer Post Older Post Home
View mobile version

0 comments:

Post a Comment

Subscribe to: Post Comments (Atom)

Popular Posts

  • Christiano Ronaldo and His 29 girlfriends List.
    Chr is tiano Ronaldo is famous as a great and cool football player. He play for England Manchester United Club, at age of 26 and he already...
  • Maadhimisho ya miaka 100 ya kituo cha makumbusho ya utamaduni wa Kisukuma - BUJORA Mwanza.
    Maadhimisho ya miaka 100 ya kituo cha makumbusho ya utamaduni wa Kisukuma - BUJORA Mwanza.                 Makumbusho ya  ka...
  • Computer System Analyst Grade I (Business Analysis) – One Post - (Re-advertised) E-Government Agency (EGA
    Computer System Analyst Grade I (Business Analysis) – One Post - (Re-advertised) E-Government Agency (EGA) Date Listed: J...
  • Tumehuzunika kidogo, Cesc Fabregas
  • Tempetation
    An Ivy League-educated marriage counselor who gives marital advice but finds it difficult to address issues with her own marriage.    Jur...
  • University of Dar es Salaam among top 100 Universities in Africa
    The university of Dar-es-Salaam has ranked fourth among top 100 popular universities and higher learning institutions in Africa. This is acc...
  • Community Relations Manager – (One Post)
    Community Relations Manager – (One Post) African Barrick Gold (ABG) Date Listed: May 15, 2013 Email Address: ...
  • Post: Part-time journalist
    Post: Part-time journalist Job Description Timely and accurately collecting African real-time news and then integrate the manuscript ...
  • Admission of Diploma holders into Higher
    TANZANIA COMMISSION FOR UNIVERSITIES Admission of Diploma holders into Higher Education Institutions for the academic year 2013/2014. The T...
  • Kim Kardashian awateka tena mashabiki kwa mavazi
    Kim Kardashian aliweza tena kuuteka umati waliohudhuria katika sherehe za kuchangisha fedha kwa ajili ya mfuko wa kuchangisha fedha kwa ajil...

Categories

  • Africa (1)
  • Announcement (13)
  • Biashara (17)
  • Breaking News (4)
  • Burudani (11)
  • East Africa News (19)
  • Education (12)
  • Entertainment (8)
  • Fashions (1)
  • Habari (41)
  • Health (1)
  • International News (14)
  • Jamii (11)
  • Jobs (120)
  • Latest Sports News (3)
  • Local News (59)
  • Makala (8)
  • Michezo (25)
  • Music (5)
  • News (12)
  • Scholarships (4)
  • Scholarships- Jobs (7)
  • Siasa (1)
  • Sport (64)
  • sports (18)
  • Technology (2)
  • Tetesi za Usajili (9)
  • usajili (1)

Blog Archive

  • ►  2013 (335)
    • ►  September (9)
    • ►  August (18)
    • ►  July (23)
    • ►  June (27)
    • ►  May (91)
    • ►  April (53)
    • ►  March (41)
    • ►  February (59)
    • ►  January (14)
  • ▼  2012 (162)
    • ►  December (42)
    • ►  November (70)
    • ▼  October (50)
      • Hawa Jamaa hata Huruma hawana
      • World Bank report: Remove cross-border restriction...
      • Samsung:vowed to continue expanding its presence i...
      • Volunteer roles available in Tanzania
      • International Graduate Programme– Specialist Funct...
      • International Graduate Programme– Consumer Bank, S...
      • International Graduate Programme - Wholesale Bank,...
      • Consumer Bank Fast Track Programme, Standard Chart...
      • Management Accountant for Agricultural Development...
      • Twiga Cement awards Quarry Life winners
      • Barclays Bank Tanzania:Launched new Collections a...
      • Consumer Reports Auto Reliability Survey: Ford fal...
      • Blackaburn Rovers mazungumzoni na Harry Redknapp
      • Prem stars battle Messi ‘n Ron
      • TANZANIA PORTLAND CEMENT COMPANY LTD (TPCC LTD) AW...
      • The 2nd Children Arts and Cultural Festival
      • Michezo ya Ligi kuu ya Uingereza wikiendi hii kati...
      • Liverpool yalia na Simon Bennett, Chelsea yalia na...
      • Zitto: Vigogo walioficha mabilioni Uswisi kukiona
      • Di Matteo aulilia uongozi juu ya Ashley Cole!!
      • I'll talk with with Fergie - I've been a fan longe...
      • Kikongwe cha miaka 80 chamjia juu Fergie kuhusu mt...
      • Breaking: Wavaa vimini muwe macho
      • Dk Slaa amlipua JK
      • Sheikh Mubajje, Kayongo wanted out of office
      • FUBA: KIU Titans on trial against Miracle
      • Call for Applications for Journalism Training in S...
      • Trey Songz - Heart Attack
      • MAN UTD boss admits Chelsea's talented trio could ...
      • New Video: Far East Movement - Little Bird
      • MAN CITY boss has hit back at players who are not ...
      • Habari za Michezo mchanganyiko
      • Ligi ya mabingwa msimu ni Balaaa
      • Christiano Ronaldo and His 29 girlfriends List.
      • Mwanadada Jprdana atemana rasmi na mchumba wake
      • Barcelona vs Celtic 2-1 All Goals and Highlights 1...
      • Manchester United vs Sporting Braga [3-2] All Goal...
      • Je mwisho wa Barcelona ndio umefika
      • Rais Kikwete afungua mkutano mkuu wa 8 wa UVCCM .
      • Kim Kardashian awateka tena mashabiki kwa mavazi
      • Karaoke Night.
      • Reservations & Marketing For Africa-Vacancy
      • Marketing Officers (3posts)
      • Internship Placement
      • Regional and District Coordinators
      • John Terry katika kuongoza kampeni ya kupinga Ubag...
      • Italian scientists convicted over earthquake warning
      • Jalada la Elizabeth Michael ‘Lulu’ larejeshwa Kisu...
      • Wakristo Geita wasema OLE! Vitisho, uharibifu wa m...
      • Fergie: I'm not teed off with shirt snub Rio ReAl...
Powered by Blogger.

About Me

Unknown
View my complete profile